Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

1. Miezi 6 huna mahusiano.

2. Huyo ulokuwa naye walirudiana na mwenzake mwezi wa nne
Mpaka leo ni miezi 10 .

3. Unataka wa kukupoza au wa kuanzisha naye mahusiano? Maana kichwa cha habari na paragraph ya mwisho vinapingana.

4. Uliwezaje kukaa kwenye mahusiano miaka 4 pasipo kugundua unadanganywa????


Ushauri wa KIMBINGU:-
Kama kweli usemayo Mwombe Mungu sana yeye atajua namna ya kukutafutia wa kufanana naye.


USHAURI WA KIDUNIA
Rudi na wewe kwa huyo ulokuwa naye kabla ya kumpata huyo alokuachia maumivu.

Yangu ni hayo, yake care omba sana

 
Hahaa kama ulikuwepo...nikikaa ndani naangalia kina Kim wangu mtu anaweza kudhani sipo
 
Mama njoo PM; usichezee hii bahati ni zaidi ya BIKO!! [emoji120]
 
ucjali...utapata tena wa kukusahaulisha machungu yote hayo...watu wanapitia mengi usiwaone wakicheka
Fursa hiyo ila lazima ukiinda uende na jina lá kikiristo ndio utajibiwa
wahimize wachangamkie fursa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…