Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ipo-sana-ukitaka-kutoa-mimba-hupati-pesa.htmlJamani nina shida kubwa sana, ndugu wameniandama hali hiyo inanifanya nijiskie vibaya sana. Ni wapi naweza pata mkopo wa shilingi laki mbili au tatu nirejeshe kwa mwezi au kama kuna mtu wa kuweza kunisaidia humu ndani naomba anisaidie naomba.
Kwa ambaye anaweza kunisaidia naomba ani pm nimuelezee shida niliyo nayo.Sijawa open kuekezea shida kwa wote kwa ajili ya usalama wangu.
Naomba jamani mimi ni mwaminifu siwezi fanya ujinga.
Asante kwa kusoma.
Umenifanya nicheke sana. Sio kutoa mimba sina roho ngumu hivyo,ni
Njoo kule tuongee kwa kirefu!
Watumie watu shida yako kupitia PM
weka namba nikutumie tigo pesa.
Duhh,haya.
Hembu ni PM namie nijue hiyo Shida
Ndugu yangu natamani sana ningeweka wazi yaliyo nisibu ila naogopa ndugu zangu watajua ukweli wa mambo.Humu jf wengi wanapitia na ndugu zangu pia ila hatujuani id kwa hiyo naogopa wasije waka gundua.Mimi najitajihidi niweze kutatua hali niliyokua nayo.[/QUOT
weka picha tukuone tunaweza kulitatua tatizo lako
hapo pagumuNdugu yangu natamani sana ningeweka wazi yaliyo nisibu ila naogopa ndugu zangu watajua ukweli wa mambo.Humu jf wengi wanapitia na ndugu zangu pia ila hatujuani id kwa hiyo naogopa wasije waka gundua.Mimi najitajihidi niweze kutatua hali niliyokua nayo.[/QUOT
weka picha tukuone tunaweza kulitatua tatizo lako
Niko serious kweli..
eleza tu tatizo huenda ukapata msaada
Watumie watu shida yako kupitia PM
Njoo moro nitakupatia.ila ufanye haraka kabla mama watoto hajarudi toka moshi.huwa ananikatazaga kusaidia watu.ila kwa ww nitakusaidia.ni pm nijue jinsi ya kukutumia nauli.