Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ipo-sana-ukitaka-kutoa-mimba-hupati-pesa.htmlJamani nina shida kubwa sana, ndugu wameniandama hali hiyo inanifanya nijiskie vibaya sana. Ni wapi naweza pata mkopo wa shilingi laki mbili au tatu nirejeshe kwa mwezi au kama kuna mtu wa kuweza kunisaidia humu ndani naomba anisaidie naomba.
Kwa ambaye anaweza kunisaidia naomba ani pm nimuelezee shida niliyo nayo.Sijawa open kuekezea shida kwa wote kwa ajili ya usalama wangu.
Naomba jamani mimi ni mwaminifu siwezi fanya ujinga.
Asante kwa kusoma.