Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

Sa kama hapo umetapeliwa nini mkuu, ila jf 🙌
Sijatapeliwa nimesema kuna harufu ya utapeli, kama ni employment agency lazima uweke wazi mwanzo ili watu wajue unaajiriwa na dalali. Kuna visa vingi sasa hivi vya toa kitu kidogo upate kazi na wanaanza hivihivi, kupata kazi ya kariakoo inatangazwa JF Evelyn we ni mkongwe jiongeze, mawinga wote wameshindwa ku cover gap ?
 
Huyo ni dalali tu hana kazi yoyote ile ukimtafuta anakwambia nakutafuta whatsapp akipata tu namba yako ya whatsapp anakuunga kwenye group lake la kutafutia watu kazi bila ruhusa yako na anataka asilimia 50 ya udalali kabla hata ta kupata kazi yenyewe.
Cc Evelyn Salt
 
Back
Top Bottom