godiusngunda
Member
- Jun 11, 2013
- 33
- 75
Employment Agency inamaanisha Nini mkuuAsante kwa Taarifa ila kuna harufu ya utapeli maana Truecaller umesave kweli kama muuza Vitenge ila Whatsapp ni employment agency.
Yani ni kampuni yakuajiri wafanyakazi kwa niaba ya watu wengine. Ukiombwa hela hapo shtuka.Employment Agency inamaanisha Nini mkuu
True caller ipi unayotumia Mkuu?Asante kwa Taarifa ila kuna harufu ya utapeli maana Truecaller umesave kweli kama muuza Vitenge ila Whatsapp ni employment agency.
Sa kama hapo umetapeliwa nini mkuu, ila jf πAsante kwa Taarifa ila kuna harufu ya utapeli maana Truecaller umesave kweli kama muuza Vitenge ila Whatsapp ni employment agency.
Sijatapeliwa nimesema kuna harufu ya utapeli, kama ni employment agency lazima uweke wazi mwanzo ili watu wajue unaajiriwa na dalali. Kuna visa vingi sasa hivi vya toa kitu kidogo upate kazi na wanaanza hivihivi, kupata kazi ya kariakoo inatangazwa JF Evelyn we ni mkongwe jiongeze, mawinga wote wameshindwa ku cover gap ?Sa kama hapo umetapeliwa nini mkuu, ila jf π
MamboSa kama hapo umetapeliwa nini mkuu, ila jf π
Huyo ni dalali tu hana kazi yoyote ile ukimtafuta anakwambia nakutafuta whatsapp akipata tu namba yako ya whatsapp anakuunga kwenye group lake la kutafutia watu kazi bila ruhusa yako na anataka asilimia 50 ya udalali kabla hata ta kupata kazi yenyewe.Nimekuja bado kazi ipo
Cc Evelyn SaltHuyo ni dalali tu hana kazi yoyote ile ukimtafuta anakwambia nakutafuta whatsapp akipata tu namba yako ya whatsapp anakuunga kwenye group lake la kutafutia watu kazi bila ruhusa yako na anataka asilimia 50 ya udalali kabla hata ta kupata kazi yenyewe.