Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
349
Reaction score
805
Habari wana JF,

Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.

9793A6F2-A747-4A3A-BA42-E76F7BA56B90.jpeg
 
Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
 
Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
Huu wa tofauti kidogo. Ule unaouzwa kwa kutembeza ni mbichi straight kutoka baharini. Huu umekaushwa.
 
Niliwakuta Tanga ila shemeji zangu mkaniabisha namna ya kuwapika hadi Mbeya wanawazidi. Dagaa watamu sana hawa.
 
Back
Top Bottom