Kalamu Nzito JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 349 Reaction score 805 Feb 6, 2024 #1 Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 Feb 6, 2024 #2 Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 6, 2024 #3 Dagaa watamu sana hao. Ndugu zangu Wagogo changamkieni fursa hiyo.
Kalamu Nzito JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 349 Reaction score 805 Feb 6, 2024 Thread starter #4 Kindeena said: Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga. Click to expand... Huu wa tofauti kidogo. Ule unaouzwa kwa kutembeza ni mbichi straight kutoka baharini. Huu umekaushwa.
Kindeena said: Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga. Click to expand... Huu wa tofauti kidogo. Ule unaouzwa kwa kutembeza ni mbichi straight kutoka baharini. Huu umekaushwa.
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,838 Reaction score 25,282 Feb 6, 2024 #5 Ni watram balaa unawauzaje nipo arusha
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Feb 6, 2024 #6 Niliwakuta Tanga ila shemeji zangu mkaniabisha namna ya kuwapika hadi Mbeya wanawazidi. Dagaa watamu sana hawa.
Niliwakuta Tanga ila shemeji zangu mkaniabisha namna ya kuwapika hadi Mbeya wanawazidi. Dagaa watamu sana hawa.