Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari zenu ndugu..
Leo nimerudi na biashara ya nguo.., natafuta wateja na wanunuzi wA jumla.. Nimeingia natafuta hapa mtandaoni no one knows labda nitapata good ideas .., na mpaka sasa natafuta duka mjini ya kuuza biashara yangu .. Kwahiyo atakaye kua tayari kununua
Soma inavokua

1) Hamna kulipa advance kama duka la nguo onayo , inavokua ni onatao oda yako ., baada mwezi mmoja nakuletea oda yako unanilipa baada kuridhika .,, na hiyo niko 100% kua utaridhika nguo zangu ni in hight quality.

2) kama huna duka na unataka kutoA oda ! Lazma ulipe advance
Ya 50% na unamalizia badae baada kupokeA oda yako.

3) Duka unalo na huna uwezo la kununua ?! Bado tutakusaidia kua tutakupa nguo yakuweka dukani na uvute wateja tunakupa bei yetu na unaweka faida yako juu!

Nguo hizo zinatoka dubai .., atakaye kua tayari just inbox me

ImageUploadedByJamiiForums1412949498.891213.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949522.894496.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949536.155840.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949564.311198.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949587.112045.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949604.033992.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949621.503709.jpgImageUploadedByJamiiForums1412949637.225350.jpg
 
nipo mbeya jijini, nina chumba tayari cha biashara, WAZO LANGU NIA BIASHARA HIYO, tunafanyeje, mtaji ilikuwa bado! tunafanya mkataba gani atleast nianze na nguo chache za kiume na kike?
0754 734009
 
Ni mashati tu!! Na bei zinatafutiana ..! Na zote stock zimeisha imebaki hizo jacket ndo maana nilisema oda Kwanza !.,na pia mna haki ya kuchunguza shati kabla ya kutoa oda yako! Mfano ya hi shati bei yake
Ni 65,000 kwa jumla 45,000

View attachment 192075
 
ni mashati tu!! Na bei zinatafutiana ..! Na zote stock zimeisha imebaki hizo jacket ndo maana nilisema oda kwanza !.,na pia mna haki ya kuchunguza shati kabla ya kutoa oda yako! Mfano ya hi shati bei yake
ni 65,000 kwa jumla 45,000

View attachment 192075
ok nilifikiri bei zako zinafanana na za china tunaponunua kwa 1.5 $ per piece kumbe bei za mlimani city
 
Oh! Please nipe anwani zao kule 1.5$ duh please nipe tufanye biashara nzuri

NAANZA NA Thailand pia kuhusu nguo zipo very quality more than China
Bobae Market - Bobae Market is a clothesaholics' paradise. Clothes are dirt cheap here, but you are expected to buy in bulk or wholesale (i.e.: three or four pieces at each stall). Prices are so cheap though ($1.50 per t shirt) that it's easy to want to buy more than one item. Bobae has any clothing you would want but is specifically a great place for jeans, t shirts, shirts, blouses, skirts etc. To get to Bobae, you can either take the boat from Siam Square (a bit difficult to find though, although one of the shopkeepers in any of the malls near Siam can tell you how to get there, and it is really fun on the boat on the klong) or, take a taxi.

Baiyoke Markets - There's a huge market area near Baiyoke Tower and also hundreds of shops within the Baiyoke Tower complex. Again, here, you're expected to buy at least two pieces (they don't have to be the same designs though, just two t shirts, two pairs of shorts, etc.) but prices are about half of what you would pay at Chatuchak (around $1.50 per t shirt, sometimes even $1 per shirt and the quality is beautiful). You can also get larger sizes here, so Baiyoke Markets are great for those who are above a US size 8, as well as those who are tiny (they have sizes for everyone because this is where much of the exporters to Europe and the US buys their clothing). Go to Chidlom sky train station, and then take a taxi to Baiyoke. You can walk there, but the alleys are a little confusing. A taxi driver however will take you straight there for only about $1.25 fee.
 
Thanks alot kamanda but may i please i you.., are they the same like this types of style?!!
 
I meant the clothes are they the same types of style i sended
 
Kumbe huyu mdada anataka kutufanyia biashara,ninunue shati kwake alfu 60 niuze bei gani,laki 2?
 
Back
Top Bottom