Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Ha ha ha ha ha I SENDED
Utafikiri kashikiwa fimbo kutumia hiyo lugha
Ha ha ha ha ha I SENDED
I meant the clothes are they the same types of style i sended
I meant the clothes are they the same types of style i sended
Hii English inatia kinyaa achana nayo tumia kiswahili tu
I Sended..? Hii nayo iko type ya Kulozesi.
Hahahaha english imevuka ziwa
Tena kwa mashua
I meant the clothes are they the same types of style i sended
I Sended..? Hii nayo iko type ya Kulozesi.
Ni mashati tu!! Na bei zinatafutiana ..! Na zote stock zimeisha imebaki hizo jacket ndo maana nilisema oda Kwanza !.,na pia mna haki ya kuchunguza shati kabla ya kutoa oda yako! Mfano ya hi shati bei yake
Ni 65,000 kwa jumla 45,000
View attachment 192075
I meant the clothes are they the same types of style i sended
Sasa huyu kama sio kutafuta kesi na watu ni nini,umuuzie mtu shati elf60 jimla alafu yy akaliuzeje,huu ni mwanzo wa kufilisiana,alafu eti anatumia na kilugha chake ili watu wajue ni muwekezaji kweli
Duh 👆kumbe kosa kukosea in Text typing!!!! Yaani kama watoto haki ya mungu! Anyway thanks