yaan dada usishangae, kosa umelifanya mwenyewe kuwaboa kwa bei zako, yaan mtu anunue sh45,000 jumla akauze sh 65,000 rejareja. labda akawe machinga sehemu ambayo ana uhakika wa kuuza shati mbili kwa cku lakn hiyo faida ya 20 elfu kama analipa fremu, umeme, TRA lesen nk. hailipi! biashara inatakiwa anayeuza rejareja ndo apate faida kubwa kwa sababu ndiye anayeingia gharama kubwa zauuzaji. mfano mtu anayeuza bia jumla anapata faida ya kati ya 1000-1500 kwa kreti lakn wa rejareja anapata faida ya elfu8-10kwa kreti. kwa hyo watu wameboreka na bei zako za jumla ndio wakahamia kwn lugha. nikupe siri moja dada, kwn biashara hamna kitu cha muhimu kama initial presentation kwa customers wako! wengine wanakujaji hadi sura yako, hyo ni changamoto unayotakiwa kupambana nayo wisely lakn ww umeonesha bado kabisa kwa hili. mfano hapa umesema 'kama watoto'! tayari umeharibu, umejuaje kama waliokuwa wanacomment hapa baadhi ni wapinzani wanatakaukate tamaa? ilikuwa ujibu tu kiutani kuwa samahani cmnajua tena kiingereza cha shule zetu za kata za St. kayumba nk! nimechoka bye