Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

tenses noma ndo maana primary walimu wa hesab na english wana majina ya utani zaidi...
send-sended
buy-buyed
come- comed
sell-selled
have-haved
mbona kiingereza simple tu kama ni hivi
 
Shati 65000? Nikienda pale mnadani kwa miga nakodi na canter la kubebea nguo
 
tenses noma ndo maana primary walimu wa hesab na english wana majina ya utani zaidi...
send-sended
buy-buyed
come- comed
sell-selled
have-haved
mbona kiingereza simple tu kama ni hivi

Kasema typing error jamani' ila anazijua sana hizo English
 
I meant the clothes are they the same types of style i sended

aiseeeeee!! lugha ya malkia utata mtupu ....................... Nakupongezea kwa biashara nzuri uliyonayo,mungu azidi kukubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…