Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

"Strategies" Kama walishindwa akina Augustine Lyatonga Mrema, Willbroard Slaa, Tundu Antipass Lissu, Profesa Ibrahim Lipumba n.k, tuendelee tu na hii Representative democracy.
 
"Strategies" Kama walishindwa akina Augustine Lyatonga Mrema, Willbroard Slaa, Tundu Antipass Lissu, Profesa Ibrahim Lipumba n.k, tuendelee tu na hii Representative democracy.
Ni kweli kabisa ulivyosema !! Na hii inatokana na idadi kubwa ya wananchi hawaamini kwamba wapinzani wana nia ya dhati kuwapigania wananchi ! Bali wengi wao wanaamini jamaa wanapigania matumbo yao tu kama walivyo wenzao waliopo madarakani ! Hilo ndilo tatizo kubwa lililopo na ndio maana Huwa hawapo tayari kuitikia wito wowote ambao wanaona Unaweza ukawaletea matatizo na mamlaka za nchi !! Kwa kweli safari bado ni ndefu ! Lakini kila chenye mwanzo kina mwisho wake !!!
 
Hakuna cha mifumo imara bana.wewe sema watanzania wamechelewa kuamka na kujitambua.Na huo ujinga unaenda kupungua kila siku.
 
Hakuna chama imara cha upinzani kama cha chadema, Magufuli alitumia miaka 5 kukiua, lakin kwenye uchaguzi wa 2020 akashangaa chama kipo imara na watu wengi wakakipigia kura (Lissu), ambae alipata kura nyingi kuliko yeye. Kwa alivyo mtu wa visasi na sifa, hiyo kitu ilimuuma sana, maana alijua Tanzania yote sasa ameikamata kisawasawa na hakuna mtu mwingine atakaekuwa anaongelewa zaidi yake. Baada ya uchaguzi alipata kihoro na alikuwa kimya sana... mpaka anakufa alikuwa haamini kama chadema imemshinda
 
Mnaikuza sana CCM mbona walishindwa kumcontrol JPM alifumua mifumo Yao yote na hawakumfanya kitu!! Kaondoa ndio wanaanza kulialia kinafiki hao kina Kinana na Membe wakaufyata!!!

Samia naye kaingia kawafumua Team JPM wote karudisha mafisadi wa awamu ya 4 ila hakuna mlichomfanya!!

Samia ataunda mpaka SUK huku Bara na hakuna kitu mtamfanya, atawapa zenji nchi huru kama ambavyo Jk aliwapa katiba mpya na hamtofanya kitu!!

CCM hamna kitu, Rais ndio ana sauti ya mwisho so akiamua nani ashinde atashinda akikataa hushindi sababu ana JESHI!! otherwise CCM ni wepesi tu no wonder wapinzani wakienda CCM wanapewa top positions!!
 
Ni haki CHADEMA wamchukie Magufuli, aliwaulia chama.
CHADEMA ipo imekufa? Mbona kampeni mliburuzwa na Lissu hadi mkamfungia?? uchaguzi ukafika mkapora kata zotee!! sasa si mngeacha mshinde wazi wazi kweupe?

Cha kuchekesha Lissu Yuko hai na huyo aliyetaka kumuua na kukiua CHADEMA ndio kafa!!

Mungu hapangiwi!!
 
Chama hicho kitaitwa SUKUMA GANG
 
Umenena kweli tupu !! Ccm ni propaganda machine tu !! Mambo yote ni Mkuu wa Nchi na ndiye Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Nchini !! Ccm waliufyata kwa Jpm ni kweli kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…