Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
"Strategies" Kama walishindwa akina Augustine Lyatonga Mrema, Willbroard Slaa, Tundu Antipass Lissu, Profesa Ibrahim Lipumba n.k, tuendelee tu na hii Representative democracy.
 
Ni kweli kabisa ulivyosema !! Na hii inatokana na idadi kubwa ya wananchi hawaamini kwamba wapinzani wana nia ya dhati kuwapigania wananchi ! Bali wengi wao wanaamini jamaa wanapigania matumbo yao tu kama walivyo wenzao waliopo madarakani ! Hilo ndilo tatizo kubwa lililopo na ndio maana Huwa hawapo tayari kuitikia wito wowote ambao wanaona Unaweza ukawaletea matatizo na mamlaka za nchi !! Kwa kweli safari bado ni ndefu ! Lakini kila chenye mwanzo kina mwisho wake !!!
 
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.
Hakuna cha mifumo imara bana.wewe sema watanzania wamechelewa kuamka na kujitambua.Na huo ujinga unaenda kupungua kila siku.
 
Hakuna chama imara cha upinzani kama cha chadema, Magufuli alitumia miaka 5 kukiua, lakin kwenye uchaguzi wa 2020 akashangaa chama kipo imara na watu wengi wakakipigia kura (Lissu), ambae alipata kura nyingi kuliko yeye. Kwa alivyo mtu wa visasi na sifa, hiyo kitu ilimuuma sana, maana alijua Tanzania yote sasa ameikamata kisawasawa na hakuna mtu mwingine atakaekuwa anaongelewa zaidi yake. Baada ya uchaguzi alipata kihoro na alikuwa kimya sana... mpaka anakufa alikuwa haamini kama chadema imemshinda
 
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.
Mnaikuza sana CCM mbona walishindwa kumcontrol JPM alifumua mifumo Yao yote na hawakumfanya kitu!! Kaondoa ndio wanaanza kulialia kinafiki hao kina Kinana na Membe wakaufyata!!!

Samia naye kaingia kawafumua Team JPM wote karudisha mafisadi wa awamu ya 4 ila hakuna mlichomfanya!!

Samia ataunda mpaka SUK huku Bara na hakuna kitu mtamfanya, atawapa zenji nchi huru kama ambavyo Jk aliwapa katiba mpya na hamtofanya kitu!!

CCM hamna kitu, Rais ndio ana sauti ya mwisho so akiamua nani ashinde atashinda akikataa hushindi sababu ana JESHI!! otherwise CCM ni wepesi tu no wonder wapinzani wakienda CCM wanapewa top positions!!
 
Ni haki CHADEMA wamchukie Magufuli, aliwaulia chama.
CHADEMA ipo imekufa? Mbona kampeni mliburuzwa na Lissu hadi mkamfungia?? uchaguzi ukafika mkapora kata zotee!! sasa si mngeacha mshinde wazi wazi kweupe?

Cha kuchekesha Lissu Yuko hai na huyo aliyetaka kumuua na kukiua CHADEMA ndio kafa!!

Mungu hapangiwi!!
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Chama hicho kitaitwa SUKUMA GANG
 
Mnaikuza sana CCM mbona walishindwa kumcontrol JPM alifumua mifumo Yao yote na hawakumfanya kitu!! Kaondoa ndio wanaanza kulialia kinafiki hao kina Kinana na Membe wakaufyata!!!

Samia naye kaingia kawafumua Team JPM wote karudisha mafisadi wa awamu ya 4 ila hakuna mlichomfanya!!

Samia ataunda mpaka SUK huku Bara na hakuna kitu mtamfanya, atawapa zenji nchi huru kama ambavyo Jk aliwapa katiba mpya na hamtofanya kitu!!

CCM hamna kitu, Rais ndio ana sauti ya mwisho so akiamua nani ashinde atashinda akikataa hushindi sababu ana JESHI!! otherwise CCM ni wepesi tu no wonder wapinzani wakienda CCM wanapewa top positions!!
Umenena kweli tupu !! Ccm ni propaganda machine tu !! Mambo yote ni Mkuu wa Nchi na ndiye Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Nchini !! Ccm waliufyata kwa Jpm ni kweli kabisa !
 
Back
Top Bottom