Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

Ungeandika na jina la NGO kukwepa usumbufu wa PM
 
Mbona hii issue ya child right naona tayari msanii shetta anafanya huoni kama utakuwa unafanya marudio au ni katika kuongeza nguvu mkuu?
 
All the best mkuu
 
NGO zilikuwa zinalipa zamani hizo, kwa sasa tafuta tu kazi ya kufanya
 
Tuwasiliane hili ni wazo zuri sanaa. Big up
 
Mkuu tunaweza kuitumia hio NGO kupata misaada kedekede kutoka kwa wadau na kujipatia fedha from charities and fund me platforms halafu tunakula maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…