TOUCHBOY TERMINATOR
Member
- Aug 19, 2021
- 38
- 58
R
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa initiatives hakuna kitu muleMbona hii issue ya child right naona tayari msanii shetta anafanya huoni kama utakuwa unafanya marudio au ni katika kuongeza nguvu mkuu?
All the best mkuuHabari Wananzonde jukwaani
Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote .
Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama ni darasa la saba na hawaelewi Mambo ya NGO.
Maeneo ambayo nimefeli zaidi ni
1.Fund raising
2.Project guider
3.Mornitoring and evaluation
4.Project writing
5.IT and NGO branding
Ninaomba Kama Kuna mtu yeyote anaweza KUJITOLEA aje tufanye kazi.
Kwa kuwa hatuna fund kabisa sio lazima aje hapa nilipo ila Kuna kazi anaweza kuzifanya hukohuko aliko Kama issue ya branding, fund raising,project writing nk.
Pindi Hali ikitengamaa tunaweza ona namna ya kushirikiana kwa ukaribu zaidi
Shirika linajihusisha na child rights protection.
Kwa maelezo zaidi njoo watsap 0766432676.
Kivipi mkuu sijakusoma hapaSawa initiatives hakuna kitu mule
NGO zilikuwa zinalipa zamani hizo, kwa sasa tafuta tu kazi ya kufanyaHabari Wananzonde jukwaani
Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote .
Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama ni darasa la saba na hawaelewi Mambo ya NGO.
Maeneo ambayo nimefeli zaidi ni
1.Fund raising
2.Project guider
3.Mornitoring and evaluation
4.Project writing
5.IT and NGO branding
Ninaomba Kama Kuna mtu yeyote anaweza KUJITOLEA aje tufanye kazi.
Kwa kuwa hatuna fund kabisa sio lazima aje hapa nilipo ila Kuna kazi anaweza kuzifanya hukohuko aliko Kama issue ya branding, fund raising,project writing nk.
Pindi Hali ikitengamaa tunaweza ona namna ya kushirikiana kwa ukaribu zaidi
Shirika linajihusisha na child rights protection.
Kwa maelezo zaidi njoo watsap 0766432676.
Hakuna shirika pale. Pale Kuna ujanja ujanja tuKivipi mkuu sijakusoma hapa
Tuwasiliane hili ni wazo zuri sanaa. Big upHabari Wananzonde jukwaani