Hapa mwanzoni tu kuna tatizo tena kubwa je huko mbele sijui hali itakuwaje.
Animal Scientist? Mhh hayaaa
Ushauri:-
Muanzishaji wa lengo lolote la mradi au kikundi,ni lazima awe na mission na vision ya mradi husika,maana hapo naona kuna watu wanataka kujiunga bila hata kujua nini kinachofanyiwa malengo.Hapo ni kwamba mnaongelea suala la Share.
Na biashara au mradi wowote lazima uwe na interest nao ndio uingie,la sivyo utaona unaburuzwa tuu na utakuwa unabahatisha
Na ndio maana hata kwenye Soko la hisa kuna bidhaa nyingi then mtu unachagua wapi ununue hisa kwa interest yako na biashara husika.
Sasa wewe ungetoa lengo,then wengine wachangie kwa muono wao.Huwezi tu kirahisi kusema 5m yenu itumike bila kujua mnaenda kufanyia nini.Maana hapo unaweza kukuta eti wewe ndio mtendaji mkuu.
Animal Scientist jipange mkuu,wewe ni mwana sayansi,huwezi kukurupuka namna hii