Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online tv

Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online tv

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Wakuu habari

Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa.

Mmoja awe mwanaume na mwingine binti. Wasizidi umri wa miaka 30.

Ukiwa tayari nicheki PM.

Mimi nitajitahidi kufund kila kitu

Naomba kuwasilisha
 
Mbona haraka sana umeambiwa huko online TV ndiko pesa zinachotwa kwa makoleo
 
Itategemea na makubaliano, Ila mi nakuwa mmiliki, na mtoa fund
Maana yake, wengine wanakuwa vibarua tu au watamiliki sehemu ya kazi.

Maana YouTube video Ni Mali yaani assets, ( intellectual property ).
 
Maana yake, wengine wanakuwa vibarua tu au watamiliki sehemu ya kazi.

Maana YouTube video Ni Mali yaani assets, ( intellectual property ).
Upo sawa, Kama Kuna makubaliano mengine, wakitokea wenye ujuzi tutajua namna ya kukubaliana
 
Kuwa na kamera digital na zenye viwango, mic za kamba na wireless, kuwa na komputa, program/software ya kuandaa habari/editing, gari la kwenda kutafuta habari, kujua ni habari gani uta angaika nazo mf. michezo, hadithi, taarifa za habari, udaku, musics etc ofisi au chumba cha habari nk mishahara au posho za ajiriwa au vibarua, gharama za mafuta na utafutaji habari nk
 
Kama umahitaji mtangazaji na mtengeneza maudhui nipo hapa!
 
Back
Top Bottom