Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umwendee nani?Za leo wakuu, jamani natafuta sana alabumu mmoja ya taarabu yenye ule wimbo wa "wape wape ee vidonge vyao, wakimeza wakitema....". Na ikiwezekana na zile zote leatest. Asanteni sana.
Umwendee nani?
Nikuendee wewe! maana umbeya umekuzidi babu wee!lol
Siyo Umbeya,,,, UMBEA!
wakati ukisubiri members wakurushie- kata kiu kwa kusikiliza kwenye youtube; search "malika taarab" - utapata vidonge vyako vya kukupooza.
Asante sana ndugu, ila sasa nataka kudowload ila nashindwa nifanyeje.
Kama umeishaupata huo wimbo kwenye Youtube,ukitaka ku-download inakubidi uwe ume-install Real Player 11,utakapokuwa unaangalia hizo videos Real Player itakuletea option ya ku-download.
Ok nashukuru ndugu kwa msaada wako.
Sasa na hio real player 11 naipata wapi? Maana sielewi hivi vitu kabisa.