Natafuta wimbo huu wa Taarabu

Natafuta wimbo huu wa Taarabu

Aunty Lao

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2008
Posts
214
Reaction score
20
Za leo wakuu, jamani natafuta sana alabumu mmoja ya taarabu yenye ule wimbo wa "wape wape ee vidonge vyao, wakimeza wakitema....". Na ikiwezekana na zile zote leatest. Asanteni sana.
 
wakati ukisubiri members wakurushie- kata kiu kwa kusikiliza kwenye youtube; search "malika taarab" - utapata vidonge vyako vya kukupooza.
 
Umwendee nani?
 
wakati ukisubiri members wakurushie- kata kiu kwa kusikiliza kwenye youtube; search "malika taarab" - utapata vidonge vyako vya kukupooza.

Asante sana ndugu, ila sasa nataka kudowload ila nashindwa nifanyeje.
 
Kama umeishaupata huo wimbo kwenye Youtube,ukitaka ku-download inakubidi uwe ume-install Real Player 11,utakapokuwa unaangalia hizo videos Real Player itakuletea option ya ku-download.
 
Ok nashukuru ndugu kwa msaada wako.
 
Sasa na hio real player 11 naipata wapi? Maana sielewi hivi vitu kabisa.
 
Ok nashukuru ndugu kwa msaada wako.

Nadhani raha ya huo wimbo kama unaweza ni kuubadilisha sidhani kama kuna video ya huo wimbo ila kamautahitahiji msaada naweza kukupa software ukaweza kuubadilisha huo wimbo kuwa mp3 na sio video na pia ukiangali hiyo real player 11 inabidi kununua sasa hapo cha muhimu ni kuubadilisha ukishabadilisha unaweza kuweka hata kwenye simu yako kama rington kama unahita wewe sema tuau nitumie PM.......ila kama huhitaji basi sio mbaya maana kila mtu na mtizamo wake....
 
Sasa na hio real player 11 naipata wapi? Maana sielewi hivi vitu kabisa.

Hiyo real player 11 inapatikana sehemu nyingi tu ndio inabidi ununue lakini maana ile ya fresh haina programe nyingi......
 
Back
Top Bottom