Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msuva kama sio jukumu lake kwanini alijipa mjukumu ambayo sio yake?Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?
Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.