Nataka 110/=, Chukua 70/=, nipeni 100/= basi, Chukua 70/= bhana. Sisaini.

Nataka 110/=, Chukua 70/=, nipeni 100/= basi, Chukua 70/= bhana. Sisaini.

nIYONZIMA RASMI SIMBA...KATA UKATAE
 
Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?

Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
Msuva kama sio jukumu lake kwanini alijipa mjukumu ambayo sio yake?
 
Back
Top Bottom