Nataka 50,000,000 ya pamoja, nilime heka ngapi za nyanya/viazi mviringo?

Nataka 50,000,000 ya pamoja, nilime heka ngapi za nyanya/viazi mviringo?

Jifariji kama huna connection ya kufika kwa hao matajiri hadi ushikwe mkono au update dalali anayewafahamu
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.
 
Si tunauza yetu kwenye company tena za Ku export bila dalali.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Atenge mil 10 kila siku odd 1.5 (match 2-3)
Day 1 mil 10x1.5 = m15 (save mil 1.5)
Day 2 mil 13.5x1.5=mil20
Day 3 mil 20x1.5 =mil30
Day 4 mil 30x1.5= mil45 (save mil 5)
Day 5 mil 40x1.5=mil60
Total profit mil60 + (save total mil6.5)= mil 66.5

Simple like that.[emoji2]
"simple like that" ... Juu ni uuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lima tu ila kuna siku ukianguka na pressure kabla hujakata roho uje hapa utupatie experience ya hizo senti za mkopo. Kuna jua, mvua, wadudu na kukosa soko. Siku jua limeanza utaanza maumivu ya kichwa taratibu.

Mvua ikipiga na magonjwa yakaja utakwenda choo bila kuhara, acha wadudu waharibifu. Yote Tisa, umeshafikiria vile shamba limekubali afu soko limechuna?

Umefikiria wakati hayo matunda yameiva na muda huo soko haliyahitaji? Haki ya Mungu sijui hata kama utakumbuka kukaa kwenye hicho kitochi kutupa mrejesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kuwekeza Mil 10 kwenye kilimo ni sawa kufanya maandalizi ya Suicide.

Kilimo kinachangamoto nyingi sana ambazo ni ngumu kuziona ukiwa haujawahi kulima ila ukishaingia ndiyo utajua hatari unayoiface.

Heri hiyo pesa aiwekeze kwenye miradi midogo midogo walau miwili itaweza kuwa na tija kidogo.

Sisi wakulima huwa tukivuna hela ya mavuno ukiipata hauirudishi tena shambani huwa hazirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa mkulima/mfanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu.

1 Ondoa nyanya kwenye hilo wazo lako it is too risk kwa beginner kulima nyanya kwa mtaji mkubwa hivyo unless uwe na plan b.

2 Weka mpunga hapo na ugawe mtaji wako utengeneze back up plan ya kucover risks utakazokumbana nazo.

3 Tafuta shamba la eka 20 za mpunga zinazoweza kufanyiwa umwagiliaji lima acre 10 kwanza kama pilot phase then ukiona mwelekeo mzuri pamoja na challenge ulizokutana nazo then lima na zile zingine.

4 Shamba utakalotafuta uzingatie haya.
1 pasiwepo na wafugaji wa kimasai jirani
2 pasiwe karibu na Tembo

Kwanini nimekushauri mpunga?
1 ni rahisi kulima hata kwa beginner
2 hauna changamoto nyingi sana kama horticulture
3 unaweza kuutunza ukisubiri soko liwe upande wako.
4 unaweza kuongeza thamani na ukapata faida maradufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.

Kuna jamaa aliozea nje na papai zake .!oil
 
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa mkulima/mfanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili ufanikiwe kilimo lima Kama hobbie yaani kipende kilimo nacho kitakupenda.Kulima ni sawa na kubeti unaweza ukaliwa au ukala muhimu ni kuendelea tu kulima hata ukipata hasara,at the end kuna mwaka au msimu utapata pesa na hela yako itarudi yote
 
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.
Kwenda sokoni bila connection ni bora uuzie shambani hivi nashangaa MTU unabeba mazao from nowhere huyo sokoni kisa kasikia sokoni bei ni sh. Kadhaa hapo katikati kuna mnyororo inabidi kila MTU ale kabla ya final consumer ikumbukwe ukitaka kula inabidi uliwe pia ukitaka soko zuri ni gharama ya pesa na mda ukubali kula deal na watu wa faida as long as kuna maslahi
 
Back
Top Bottom