Nataka 50,000,000 ya pamoja, nilime heka ngapi za nyanya/viazi mviringo?

Jifariji kama huna connection ya kufika kwa hao matajiri hadi ushikwe mkono au update dalali anayewafahamu
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.
 
Si tunauza yetu kwenye company tena za Ku export bila dalali.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
"simple like that" ... Juu ni uuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda kuwekeza Mil 10 kwenye kilimo ni sawa kufanya maandalizi ya Suicide.

Kilimo kinachangamoto nyingi sana ambazo ni ngumu kuziona ukiwa haujawahi kulima ila ukishaingia ndiyo utajua hatari unayoiface.

Heri hiyo pesa aiwekeze kwenye miradi midogo midogo walau miwili itaweza kuwa na tija kidogo.

Sisi wakulima huwa tukivuna hela ya mavuno ukiipata hauirudishi tena shambani huwa hazirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu.

1 Ondoa nyanya kwenye hilo wazo lako it is too risk kwa beginner kulima nyanya kwa mtaji mkubwa hivyo unless uwe na plan b.

2 Weka mpunga hapo na ugawe mtaji wako utengeneze back up plan ya kucover risks utakazokumbana nazo.

3 Tafuta shamba la eka 20 za mpunga zinazoweza kufanyiwa umwagiliaji lima acre 10 kwanza kama pilot phase then ukiona mwelekeo mzuri pamoja na challenge ulizokutana nazo then lima na zile zingine.

4 Shamba utakalotafuta uzingatie haya.
1 pasiwepo na wafugaji wa kimasai jirani
2 pasiwe karibu na Tembo

Kwanini nimekushauri mpunga?
1 ni rahisi kulima hata kwa beginner
2 hauna changamoto nyingi sana kama horticulture
3 unaweza kuutunza ukisubiri soko liwe upande wako.
4 unaweza kuongeza thamani na ukapata faida maradufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.

Kuna jamaa aliozea nje na papai zake .!oil
 
Ili ufanikiwe kilimo lima Kama hobbie yaani kipende kilimo nacho kitakupenda.Kulima ni sawa na kubeti unaweza ukaliwa au ukala muhimu ni kuendelea tu kulima hata ukipata hasara,at the end kuna mwaka au msimu utapata pesa na hela yako itarudi yote
 
Mwambie wenzake wanaolima Maembe hua wanayapeleka pale kiwandani kwa Bakhressa yanaishia kukaa nje ya geti tu mpk umjue dalali ndio mzigo wake ndani la sivyo mzigo wako utaozea hapo hapo kwny roli nje ya geti.
Kwenda sokoni bila connection ni bora uuzie shambani hivi nashangaa MTU unabeba mazao from nowhere huyo sokoni kisa kasikia sokoni bei ni sh. Kadhaa hapo katikati kuna mnyororo inabidi kila MTU ale kabla ya final consumer ikumbukwe ukitaka kula inabidi uliwe pia ukitaka soko zuri ni gharama ya pesa na mda ukubali kula deal na watu wa faida as long as kuna maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…