Shida ya hizi ist na vitz watu wanazidharau ila ukija kwenye bei hua imesimama, nadhani inatokana na fuel consumption na gharama za vipuli
Kwa milioni 5 gari utapata hizo ist au vitz ila haziwezi kua kwenye good condition tena iwe namba D, utauziwa mbovu
Hizi vitz kama zile old model ukikuta mtu anayo imesimama ikiwa namba E au D mwishoni bei yake hugusi aisee, unaweza Shangaa ila inazidi bei hata ya dualis used zikiwa na namba sawa
Kwa milioni 5 ukitaka brevis,Murano, verrosa namba D mbona madalali watakugombania
Ila Kwa ist,vitz utapata ila haiwezi kua In a good condition, bila kuongeza bajeti utapigwa tu za uso ngoja
Mad Max aje akupe ushauri