Nataka hii kitu

Nataka hii kitu

Umbo hili mtu huzaliwa hivi...labda plastic surgery itasaidia....weka picha yako humu tuone kwanza ili nijue jinsi ya kukushauri
 
Hilo gap ni result ya mazoezi kuna video moja ntaweka hapa au screenshot yake. Watu wa mazoezi watakuambia linaitwaje kisha lisake youtube utapata tu hilo gap[emoji1] [emoji1] . Kitu cha miezi kama mitatu nadhani. Halafu usiacha kutuwekea picha yako humu. Pongezi kwa instructor si mbaya [emoji12] [emoji1] . Ngoja nkutafutie kwanza hio picha[emoji4] [emoji125]
 
Hivi kumbe hilo gap btn the thighs ni dilii... Wats special abt it..I have it..[HASHTAG]#shy[/HASHTAG]..
 
Nauitaga mwanya wa kati balaa hiyo figure

Na wasiwasi na jinsia yako wanawake wengi wa bongo wanaziponda hizi figure so sijui wewe umeyajuaje haya maujanja

Wacheza yoga wengi wanamiliki hizo tigh gap just practice yoga ila body lazima ipungue
Sio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
 
Sio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
Misambwanda inavutia tu ikiwa kwenye nguo ila mpango mzima flati screen bwana tunaziita bampa to bampa
Ukimkuta mjuzi shughuli yake si kitoto
 
Umbo hili mtu huzaliwa hivi...labda plastic surgery itasaidia....weka picha yako humu tuone kwanza ili nijue jinsi ya kukushauri
Ni kweli kabisa mie mwenyewe niko hivyo, sio mazoezi wala nini ni umbo la kuzaliwa nalo.
 
Hilo gap ni result ya mazoezi kuna video moja ntaweka hapa au screenshot yake. Watu wa mazoezi watakuambia linaitwaje kisha lisake youtube utapata tu hilo gap[emoji1] [emoji1] . Kitu cha miezi kama mitatu nadhani. Halafu usiacha kutuwekea picha yako humu. Pongezi kwa instructor si mbaya [emoji12] [emoji1] . Ngoja nkutafutie kwanza hio picha[emoji4] [emoji125]
Tuwekee hiyo video au screenshot mkuu
 
Thigh gaps ni maumbile ya mtu pia!!!
Sidhani kama hauna saivi unaweza zipata bila kupungua... Kazana kufanya squats, tako litakaa vizuri zaidi labda zitatokea. Kingine mazoezi ya kukaza mapaja.
 
Hmm! Scorpio you, you come across like Amanda Cute and the likes.

Anyway, just sleep while holding a soda bottle between your thighs, every night for a year or 2, then we'll go to the next stage.
Hivi Amanda Cute in mwanamke gani? ningependa kufahamishwa
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

58e98a366fb55d14136ec71dd36d94a9.jpg
Nitafute nkupe mazoez
 
Hiyo haina mazoez figure hiyo inatengenezwa na mifupa siyo minofu pole sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom