mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Umbo hili mtu huzaliwa hivi...labda plastic surgery itasaidia....weka picha yako humu tuone kwanza ili nijue jinsi ya kukushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezereNauitaga mwanya wa kati balaa hiyo figure
Na wasiwasi na jinsia yako wanawake wengi wa bongo wanaziponda hizi figure so sijui wewe umeyajuaje haya maujanja
Wacheza yoga wengi wanamiliki hizo tigh gap just practice yoga ila body lazima ipungue
Misambwanda inavutia tu ikiwa kwenye nguo ila mpango mzima flati screen bwana tunaziita bampa to bampaSio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
Ni kweli kabisa mie mwenyewe niko hivyo, sio mazoezi wala nini ni umbo la kuzaliwa nalo.Umbo hili mtu huzaliwa hivi...labda plastic surgery itasaidia....weka picha yako humu tuone kwanza ili nijue jinsi ya kukushauri
Tuwekee hiyo video au screenshot mkuuHilo gap ni result ya mazoezi kuna video moja ntaweka hapa au screenshot yake. Watu wa mazoezi watakuambia linaitwaje kisha lisake youtube utapata tu hilo gap[emoji1] [emoji1] . Kitu cha miezi kama mitatu nadhani. Halafu usiacha kutuwekea picha yako humu. Pongezi kwa instructor si mbaya [emoji12] [emoji1] . Ngoja nkutafutie kwanza hio picha[emoji4] [emoji125]
NifaKtk ubora wako popoma
Hivi Amanda Cute in mwanamke gani? ningependa kufahamishwaHmm! Scorpio you, you come across like Amanda Cute and the likes.
Anyway, just sleep while holding a soda bottle between your thighs, every night for a year or 2, then we'll go to the next stage.
Hivi Amanda Cute in mwanamke gani? ningependa kufahamishwa
míѕαmвwαdα ndσ hαвαr kαvu mαzєєSio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
Naomba ku-prove....! Ugonjwa wangu huo!Hivi kumbe hilo gap btn the thighs ni dilii... Wats special abt it..I have it..[HASHTAG]#shy[/HASHTAG]..
U know I aint one of them!Sio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
Nitafute nkupe mazoezJamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli
Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]
![]()
Hiyo haina mazoez figure hiyo inatengenezwa na mifupa siyo minofu pole sanaJamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli
Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]
![]()