Nataka kila siku niwe nalaza laki mbili -200k

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,077
Reaction score
1,736
Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza….

Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi?

Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
 
Nenda kigoma ukanunue bunduki ila hutatoboa miaka miwili tayar wajinga watakuwa wameshakunasa ingawaje wengi eti tunaamin jamaa hawapigi kazi lakin sio kweli

Ukitaka ujue jamaa wanapiga kazi kuwa mzee wa magendo na uharifu
 
Cheza aviator hata million 2 kwa siku unalaza, Mimi nalaza million na ushee, ninachofanya ni biashara halali, usiniulize ni ipi na ninafanyaje!
 
Kuna Jamaa anadai amebadilika kutoka kutoa huduma za tigo na sasa hv amerudi uraiani, Labla mtoa mada afanye hy kazi ya tigo then baada ya kupata utajiri arudi uraiani 😎
We ulisha wai ifanya??? Maana usishauri kitu ambacho huwezi mshauri mwanao au ww huna uzoefu nacho
 
Cheza aviator hata million 2 kwa siku unalaza, Mimi nalaza million na ushee, ninachofanya ni biashara halali, usiniulize ni ipi na ninafanyaje!
Aviator ndo nn mkuu!!
Nimependa ushuhuda wakl
 
Mtaji wako ndiyo utaamua upate bei gani kwa siku na siyo jinsi unavyofikiria.
 
Nenda kigoma ukanunue bunduki ila hutatoboa miaka miwili tayar wajinga watakuwa wameshakunasa ingawaje wengi eti tunaamin jamaa hawapigi kazi lakin sio kweli

Ukitaka ujue jamaa wanapiga kazi kuwa mzee wa magendo na uharifu
Ha ha ha hii nayo ngumu nataka biashara halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…