JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
wtfmtoa mada acha upumbavu, halafu kua kwanza usiharakie maisha
Hebu kwanza anza na haya maduka yanayouza madawa kwa bei ya Jumla, ongea nao kwanza ujue kama wanaweza kukukopesha. (at the same time uwe na vigezo vyote vya kukopesheka)Habari Wanajukwaa!
Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua hilo duka iko tayari. Ila shida ni mtaji wa kununua madawa angalau duka liwe na hadhi ya daktari.
Kama kuna mtu miongoni mwenu anajua ni wapi anaweza kupata mzigo wa dawa walau kwa kiasi fulani cha deposit, naomba anielekeze. Ntanguliza shukrani.
Si ajabu unaishi kwa shemeji na unakula kwa hisani ya juhudi za dadaako!mtoa mada acha upumbavu, halafu kua kwanza usiharakie maisha
Wazo zuri..!Hebu kwanza anza na haya maduka yanayouza madawa kwa bei ya Jumla, ongea nao kwanza ujue kama wanaweza kukukopesha. (at the same time uwe na vigezo vyote vya kukopesheka)