JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Habari Wanajukwaa!
Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua hilo duka iko tayari. Ila shida ni mtaji wa kununua madawa angalau duka liwe na hadhi ya daktari.
Kama kuna mtu miongoni mwenu anajua ni wapi anaweza kupata mzigo wa dawa walau kwa kiasi fulani cha deposit, naomba anielekeze. Ntanguliza shukrani.