Nataka ku-franchise madawa muhimu ya binadamu

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,197
Habari Wanajukwaa!
Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua hilo duka iko tayari. Ila shida ni mtaji wa kununua madawa angalau duka liwe na hadhi ya daktari.

Kama kuna mtu miongoni mwenu anajua ni wapi anaweza kupata mzigo wa dawa walau kwa kiasi fulani cha deposit, naomba anielekeze. Ntanguliza shukrani.
 
Inaelekea nimewaza kitu kisichokuwepo! Mbona hakuna comments!
 
Habari Wanajukwaa!
Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua hilo duka iko tayari. Ila shida ni mtaji wa kununua madawa angalau duka liwe na hadhi ya daktari.

Kama kuna mtu miongoni mwenu anajua ni wapi anaweza kupata mzigo wa dawa walau kwa kiasi fulani cha deposit, naomba anielekeze. Ntanguliza shukrani.
Hebu kwanza anza na haya maduka yanayouza madawa kwa bei ya Jumla, ongea nao kwanza ujue kama wanaweza kukukopesha. (at the same time uwe na vigezo vyote vya kukopesheka)
 
Wazo zuri..!
 
Back
Top Bottom