24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,630
- 5,958
kwani yeye muhusika mpka anafika hyo level ya chuo hajuh umuhimu wa shule..Hoja gani? Mpaka kusoma ujengewe hoja? Nani asiyejua umuhimu wa elimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani yeye muhusika mpka anafika hyo level ya chuo hajuh umuhimu wa shule..Hoja gani? Mpaka kusoma ujengewe hoja? Nani asiyejua umuhimu wa elimu?
Habari ndugu wana JF
Mimi kutokana na maisha kuwa magumu nafikiria kuacha chuo ili nijihusishe na uzalishaji Mali.
Nazungumza haya kutokana na kauli ama ushauri wa POLEPOLE kwa wanachuo waliokosa mkopo.
Nimefikia uamuzi huu ila sijajua nianze kufanya shughuli gani.
Duh! Itanibidi niitekeleze kauli mbiu ya mheshimiwa sana.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa, amesema hana ujanja wa kuendelea kusoma hana pesa hana mkopo we unafikiri atasoma jeeSikatai hilo, point yangu ni kwamba mwenye fursa ya kusoma asome hata kama ni kwa mazingira magumu, huku mtaani kupo tu, akimaliza atakuja kujichanganya, lakini si kuacha chuo kwa kukimbilia huku ni makosa
Haina haja kuacha chuo jamaa yangu.sema naye mheshimiwa sijui kauli yake kaitoaje.cha kufanya kukuruka na vishughuli/vijibiashara hata kama ni vidogovidogo ukiwa hapo hapo chuoni.tumia mkusanyiko wa jumuiya ya hao wanachuo wenzako kama soko lako na fursa kwako.Habari ndugu wana JF
Mimi kutokana na maisha kuwa magumu nafikiria kuacha chuo ili nijihusishe na uzalishaji Mali.
Nazungumza haya kutokana na kauli ama ushauri wa POLEPOLE kwa wanachuo waliokosa mkopo.
Nimefikia uamuzi huu ila sijajua nianze kufanya shughuli gani.
Duh! Itanibidi niitekeleze kauli mbiu ya mheshimiwa sana.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuckerberg ,Steve jobs,mmiliki wa twitter hawana elimu ya chuo
Lakini hawa mbumbumbu wamejikwamua na bila wao hamuwezi kusurvive
Habari ndugu wana JF
Mimi kutokana na maisha kuwa magumu nafikiria kuacha chuo ili nijihusishe na uzalishaji Mali.
Nazungumza haya kutokana na kauli ama ushauri wa POLEPOLE kwa wanachuo waliokosa mkopo.
Nimefikia uamuzi huu ila sijajua nianze kufanya shughuli gani.
Duh! Itanibidi niitekeleze kauli mbiu ya mheshimiwa sana.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Your education starts soon after school not now.Acha chuo haraka sana,mana elimu uliyonayo inatosha kabisa,
Ingia mtaani anza kujifunza kwa vitendo jinsi kupata hela