Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
teh..teh..teh... acheni kumtisha yeye kesha piga hesabu kwenye laptop halafu mnamwambia nini? eti hakilipi? awapi huo utakuwa wivu wa kike! mwache aingie atajua hukohuko kuwa uwaziri hausomewi!Kilimo siyo kitonga kama unavyohadithiwa kaka. Fikiria mara mbilimbili kabla ya kuchukua hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu fikiria unaenda shamba unauanalia mpunga unasema hapa siwezi kosa ngunia kumi wakipiga zinatoka mbili na debe 3 imekaaje hii! sasa hivi vitu hawezi kukuelewa mpaka aingie shambani.
au kuna jamaa alilima kwa simu alidaiwa fedha zote na picha anarushiwa siku ya kwenda shamba hakulikuta msimamizi kampiga mwanzo mwisho na cha kumfanya hana.
ziko story nyingi hivyo ukiingia ukileta zako tutajifunza jinsi ya kupata mafanikio zaidi.