Usikulupuke kijana,utajiri hautafutwi kwa staili hiyo kwa nchi zetu za Africa.USA,CANADa unaweza kufukuzwa ajira rasmi Leo kesho asubuhi ukaanza kazi ya box na ukakusanya pesa ya maana kulingana na masaa utakayokomaa.Wakati bongo ukitimuliwa mpaka upate kazi kwa kipindi hiki ni lazima ulale njaa na kunyimwa unyumba.Nikupe mfano huku kusini nyanya ndoo kubwa shambani inauzwa chini ya 2000 na wateja hakuna na wakulima wameacha madeni na wengine wameteleleza mashamba ya nyanya.Sasa kwa staili hii kama umeacha kazi kwa mbwembwe utaacha kuwa mlevi.Kama walivyoshauri halo juu usiache kazi bila ya kuwa na uhakika na utakachokifanya,Huku kusini matajiri asilimia kubwa ni wafanyabiashara wa mazao ya wakulima na s wakulima wenyewe.