City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Nimekusoma mkuu naona uko subjective mi nilijaribu kuwa objective.Everyone can tell you the risk. An entrepreneur can see the reward.#richdad
Mchele unalimwa wapi huko Mkuu na Mimi nitie timu?
Hii inatuumiza sana wakulimaGunia la mahindi hapa Sumbawanga ni 18000/= wakati mwaka bei ilifika hadi 100000/=,aliyelima kwa mbwembwe anaisoma namba vilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera ni wazo zuri.
kuna njiwa maalum au hata hawa wakawaida?Inalipa sana,, unaweza ukaacha ajira ukajikita zaid kwenye ufugaji wa njiwa,,
Mhi mchele? Nenda field ukaone mziki achana na JF
Njuwa hawa hawa hebu elezea soko lake likoje na faida yake ipojeTengeneza mabanda,, ufuge njiwa, zinalipa sana Mkuu hutojuta nakuambia
Njiwa mbona naona miaka hii hawaja vuma sana kama miaka ya 94 na kuendeleahii kweli kuna mtu alianza na njiwa kama wanne akiwa na umri mdogo sana chini ya miaka 10 lakini mpaka leo bado familia inafaidika na njiwa hao kama kitoweo huku yeye akiwa na miaka 50 hivyo mradi umekaa zaidi ya miaka 40 sasa.
Na huu ndiyo ukweli,kilimo ni kizuri ila unahitaji mikakati mizuri kutoboaSiku umeacha kazi umelima matikiti yako umeyapakiza kwenye fuso unayo kama 9,000 hivi kwa matarajio ya kuuza 2000 kwa piece unafika sokoni fuso kama 50 hivi hivyo inabidi uuze 500 hapo ndo utaelewa nini maana ya kuacha kazi
wenye umri wa kuwafuga wanapenda cartoon kwa kuwa hii mara nyingi ni zoezi linalopendwa na watoto wa miaka 7-13 ambao wachache wanapenda kuwa na sungura.Njiwa mbona naona miaka hii hawaja vuma sana kama miaka ya 94 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app