Nataka kuacha kazi niwe mjasiriamali, naombeni ushauri

Kwa kifupi umeridhika na kipata cha 2.4mil so unataka kuacha kazi ili utoe fursa kwa wengine, wazo zuri mkuu
 
Success is on another side of fear.Hapa ni maamuzi magumu tu ndiyo yanayotakiwa,watanzania wengi ni waoga wa maisha,unakuta mtu yupo katika ajira miaka 10 lakini bado analialia tu na hajui afanye nini,muda nao unakwenda.
 
Hapo kwenye comprehensive insurance nimepapenda sana,aksante mkuu
 
Mbona hujataja transport nyingine zilizofanikiwa? abood,hood,kilimanjaro na nyingine nyingi sizijui....hadi wachina wamewekeza kwenye transport.....btw mimi sio mshabiki sana wa biashara ya usafiri ila wapo wanaoiweza na wanafanikiwa.
 
Tuchukulie mfano wake amesema anakatwa anabaki na 420,000. Akisimamia mwenyewe hizo noah, moja akiendesha kama alivyosema atapata extra money kuliko hayo makato.

Nafikiri unajua impact ya kusimamia biashara yako mwenyewe tofauti na kuwaachia watu.
 
Kwa Noah 2, asset ya magari
Nakushauri usiache Kazi kwanza, wekeza zaidi mfano, jenga nyumba zaidi ya moja, pangisha, anxisha miradi mingi zaidi kutoka kweny noah then ndo uache
Vyombo vya moto ni risk, Noah ikidondoka moja tu kwa heri
Wazo zuri saaana.....namie inabidi niige na kufanyia kazii mawazo yako!Toa mada fuata ya huyu jamaa nina imani utatoka kabisaa
 
Na labda niweke wazi. I'm not against being employed. Ajiriwa lakini usikatishe tamaa mtu anaetaka kujiajiri kwasababu unaona kuacha ajira ni kama suicide mission.
 
Na labda niweke wazi. I'm not against being employed. Ajiriwa lakini usikatishe tamaa mtu anaetaka kujiajiri kwasababu unaona kuacha ajira ni kama suicide mission.

and I will never say that to anyone. Ushauri huu nautoa kwa kuwa huyu mtu anataka kushift from being employed to self employment.

Trading and treading carefully are the key words here!!

As obvious we are all riding on 'assumptions' since we don't know all facts!!! (in aswer to your first quotation)
 
Hapo kwenye comprehensive insurance nimepapenda sana,aksante mkuu
Mtu anakwambia usiache kazi gari itagongwa! Kazi ya insurance ni nini? Wenye buses za mikoani wananunua magari mapya kwa insurance(sikushauri ufanye fraud) hakikisha gari zako zina comp insurance kutoka kampuni kubwa. Insurer akupe ushauri.
 
Wengi ndio njia wamepitia. Unatoka kuajiriwa kwenye insurance company to owning insurance company etc. Wengi wanapata mtaji kutokana na ajira labda kama umerithi au familia imekuwezesha mtaji.
 
Mbona hujataja transport nyingine zilizofanikiwa? abood,hood,kilimanjaro na nyingine nyingi sizijui....hadi wachina wamewekeza kwenye transport.....btw mimi sio mshabiki sana wa biashara ya usafiri ila wapo wanaoiweza na wanafanikiwa.
Kwa mtaji gani wamewekeza? Na miiko gani ya uwekezaji? Biashara ya usafirishaji ukiifanya kwa kuiga jihadhari kwa majibu ya pamde zote mbili (- )&(+) maana b:ashara ya usafirishaji unaunasaba sana na mambo fulani fulani ambayo ukitaka kuyafahamu fanya upelelezi kwa hizo kampuni ulizo zitaja halafu uwaulize kile kitambaa chekundu nyuma ya mabasi huwa ni cha kazi gani
 
Lakini pia mtoa mada ndio kwanza na tunoah tuwili tu unadhani ni wakati ,uafaka wa kuacha kazi iliyo mletea hizo noa mbili zinazo mshawishi kuacha kazi? Kwa ushauri wangu kwake mda wa kuacha kazi bado kwa sasa.
 
I'm done.
 
Hii nidham ya uoga sijui watanzania tunapoitoa jaman!! Why tunapenda kufanya kaz za watu? Mbona mimi niliacha kaz na kuanza kama machinga na sasa nina kipato mara 20 zaid ya nilivyokuwa kazin
Safi sana
 
Lakini pia mtoa mada ndio kwanza na tunoah tuwili tu unadhani ni wakati ,uafaka wa kuacha kazi iliyo mletea hizo noa mbili zinazo mshawishi kuacha kazi? Kwa ushauri wangu kwake mda wa kuacha kazi bado kwa sasa.
Wewe ni wale mnaoamini biashara lazima uanze na mabilioni. Btw hapa nazungumzia mentality ya Watanzania in general,whatever the business, mentality yao ni hii hii.
 
Magari Si Biashara Ya Kueleweka. Tafuta Kipato Toka Biashara Isiyohamishika Kwanza. Ukishaona Umewekeza Vya Kutosha Ndipo Uache Huko. Wanaokuambia Usiache Kazi Bado Hawakutakii Mema. Huwezi Kutajirika Ukiwa Umeajiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…