Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye comprehensive insurance nimepapenda sana,aksante mkuuMimi naona uache kazi. Hizo gari unazikatia comprehensive insurance, unapga kaz na noah 1.
Kama wanakupa 40000 inamaana madereva wako wanapata zaid ya 80,000, so mnagawana faida. Sasa ukiendesha wewe ni faida mara 2. Pesa utazopata unainvest kwenye vtu vingne. All the best.
Kweli. Na humu kumeambatana na wivuukitaka kufanya maamuzi magumu kama hayo usipoteze muda kuomba ushauri humu
Mbona hujataja transport nyingine zilizofanikiwa? abood,hood,kilimanjaro na nyingine nyingi sizijui....hadi wachina wamewekeza kwenye transport.....btw mimi sio mshabiki sana wa biashara ya usafiri ila wapo wanaoiweza na wanafanikiwa.Hakuna hasara kubwa kama kuwekeza kwenye resources ambayo ina hamishika na kutembea ,wapi kiswele,tawaqal,safina ,nk? Na ni vipi iama hayo mdio yangekuwa masha ya kudumu na tegemeo lao? Usimshauri kuacha kazi bali mshauri kuboresha vyanzo vingine vya mapato vya vya kudumu.
Tuchukulie mfano wake amesema anakatwa anabaki na 420,000. Akisimamia mwenyewe hizo noah, moja akiendesha kama alivyosema atapata extra money kuliko hayo makato.Point ya watu wengi na yangu ni hii; Noah kazinunua kwa mkopo unaotokana na mshahara. Now najua utasema kuwa watu wengi wanafanya biashara wakiwa na mikopo kwa nini yeye ashindwe?
The answer is, siongelei kushindwa, naongelea maximizing profit. Akibaki kwenye hiyo ajira yake mpaka mkopo wake ukaisha kisha akaendelea kusimamia mradi wake atakuwa huru na mbali zaidi kiuchumi kuliko kuacha sasa na kulipa madeni kwa pesa ya magari.
Wazo zuri saaana.....namie inabidi niige na kufanyia kazii mawazo yako!Toa mada fuata ya huyu jamaa nina imani utatoka kabisaaKwa Noah 2, asset ya magari
Nakushauri usiache Kazi kwanza, wekeza zaidi mfano, jenga nyumba zaidi ya moja, pangisha, anxisha miradi mingi zaidi kutoka kweny noah then ndo uache
Vyombo vya moto ni risk, Noah ikidondoka moja tu kwa heri
Na labda niweke wazi. I'm not against being employed. Ajiriwa lakini usikatishe tamaa mtu anaetaka kujiajiri kwasababu unaona kuacha ajira ni kama suicide mission.Mwisho, kazi unayofanya! Mfano, mimi ninaipenda kazi ninayoifanya kwa kuwa niliitaka muda mrefu. I enjoy doing it. Na bonus ni kuwa haininyimi uhuru wa muda wangu. Ninaweza kufanya mambo mengine kadri nitakavyo bila kuathiri utendaji wangu. Sometimes, kuajiriwa ni kutimiza ndoto yako kwa njia ambayo usingekuwa huko usingeweza kuitimiza lakini haimaanishi unakuwa mtumwa wa kazi na haimaanishi uridhike na mshahara wako..always seek to invest your money. Kama unaogopa kabisa biashara be a disciplined saver...savings account and save diligently, buy shares or government bonds if your finances allow. Point is, never put all your eggs in one basket.
Na labda niweke wazi. I'm not against being employed. Ajiriwa lakini usikatishe tamaa mtu anaetaka kujiajiri kwasababu unaona kuacha ajira ni kama suicide mission.
Mtu anakwambia usiache kazi gari itagongwa! Kazi ya insurance ni nini? Wenye buses za mikoani wananunua magari mapya kwa insurance(sikushauri ufanye fraud) hakikisha gari zako zina comp insurance kutoka kampuni kubwa. Insurer akupe ushauri.Hapo kwenye comprehensive insurance nimepapenda sana,aksante mkuu
Wengi ndio njia wamepitia. Unatoka kuajiriwa kwenye insurance company to owning insurance company etc. Wengi wanapata mtaji kutokana na ajira labda kama umerithi au familia imekuwezesha mtaji.and I will never say that to anyone. Ushauri huu nautoa kwa kuwa huyu mtu anataka kushift from being employed to self employment.
Trading and treading carefully are the key words here!!
As obvious we are all riding on 'assumptions' since we don't know all facts!!! (in aswer to your first quotation)
Kwa mtaji gani wamewekeza? Na miiko gani ya uwekezaji? Biashara ya usafirishaji ukiifanya kwa kuiga jihadhari kwa majibu ya pamde zote mbili (- )&(+) maana b:ashara ya usafirishaji unaunasaba sana na mambo fulani fulani ambayo ukitaka kuyafahamu fanya upelelezi kwa hizo kampuni ulizo zitaja halafu uwaulize kile kitambaa chekundu nyuma ya mabasi huwa ni cha kazi ganiMbona hujataja transport nyingine zilizofanikiwa? abood,hood,kilimanjaro na nyingine nyingi sizijui....hadi wachina wamewekeza kwenye transport.....btw mimi sio mshabiki sana wa biashara ya usafiri ila wapo wanaoiweza na wanafanikiwa.
Lakini pia mtoa mada ndio kwanza na tunoah tuwili tu unadhani ni wakati ,uafaka wa kuacha kazi iliyo mletea hizo noa mbili zinazo mshawishi kuacha kazi? Kwa ushauri wangu kwake mda wa kuacha kazi bado kwa sasa.Kwa mtaji gani wamewekeza? Na miiko gani ya uwekezaji? Biashara ya usafirishaji ukiifanya kwa kuiga jihadhari kwa majibu ya pamde zote mbili (- )&(+) maana b:ashara ya usafirishaji unaunasaba sana na mambo fulani fulani ambayo ukitaka kuyafahamu fanya upelelezi kwa hizo kampuni ulizo zitaja halafu uwaulize kile kitambaa chekundu nyuma ya mabasi huwa ni cha kazi gani
I'm done.Kwa mtaji gani wamewekeza? Na miiko gani ya uwekezaji? Biashara ya usafirishaji ukiifanya kwa kuiga jihadhari kwa majibu ya pamde zote mbili (- )&(+) maana b:ashara ya usafirishaji unaunasaba sana na mambo fulani fulani ambayo ukitaka kuyafahamu fanya upelelezi kwa hizo kampuni ulizo zitaja halafu uwaulize kile kitambaa chekundu nyuma ya mabasi huwa ni cha kazi gani
Safi sanaHii nidham ya uoga sijui watanzania tunapoitoa jaman!! Why tunapenda kufanya kaz za watu? Mbona mimi niliacha kaz na kuanza kama machinga na sasa nina kipato mara 20 zaid ya nilivyokuwa kazin
Wewe ni wale mnaoamini biashara lazima uanze na mabilioni. Btw hapa nazungumzia mentality ya Watanzania in general,whatever the business, mentality yao ni hii hii.Lakini pia mtoa mada ndio kwanza na tunoah tuwili tu unadhani ni wakati ,uafaka wa kuacha kazi iliyo mletea hizo noa mbili zinazo mshawishi kuacha kazi? Kwa ushauri wangu kwake mda wa kuacha kazi bado kwa sasa.