Nataka kuacha kazi

Nataka kuacha kazi

Ukija Dar nicheki nikupeleke pub yenye mademu wenye misambwanda
 
ingekuwa ni mimi, natafuta pikipiki iliyotumika yenye hali nzuri ya 800k kwa ajili ya kupigia boda, inayobaki nafungua mradi mdogo wa ufugaji. wakati naingiza vimia kutoka kwenye boda huku nasubiria mradi wangu uoomae uanze kunilipa. Kwa kijiijini ukiwa na uwezo wa kufunga siku na 10,000 ni kubwa sana kwa sababu mahitaji mengi yanapatikana bila garama au garama kidogo sana tofauti na dar.

Milioni 1 kwa dar ni ndogo sana hasa kwa wewe mgeni, dar inahitaji ujanja mwingi ujue konakona nyingi, wewe ukija mpk upazoee hiyo milioni ishaisha. kwa milioni yako hiyo ni dhahiri utakuja kuchuna na mgambo, manguli na washirikina wakubwa pale mtaa wa congo
 
Sio kweli apate mtu mzuri tu wa KUMUONGOZA auze hata Samaki uswahilini anatoboa
 
Hyo million tanguliza pikipiki za mkopo uwe boda
Sure nilishahi kumshauri ndugu yangu hivi akapuuzia,akafungua Banda la chips kilichokuta,xo anunue piki piki hata juta
 
Back
Top Bottom