Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Sikia kwenye ndoa kuna vita zaidi ya Congo inategemea unapigana vipi cha kufanya tuliza akili wanawake wote wako hivyo hivyo

Hata utakaowaomba ushauri nao wana mazito yao.
 
Wengi walidhani ndoa ni kutambulishwa sehem zenye watu au hafla, pia ni kupata zawadi kumbe hiyo ni theluthi katika Duara zima kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…