Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Isiposaidia ni muda wa kubadilisha gari sasa.Kama analiwa nje hii njia haitasaidia. Ila kama hana mtu nje, wiki haiishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isiposaidia ni muda wa kubadilisha gari sasa.Kama analiwa nje hii njia haitasaidia. Ila kama hana mtu nje, wiki haiishi.
Sasa wanaume tumekukosea nini hadi hutaki tukutenganishe na wazazi wako ??Niutolee wapi mkuu, chamsingi wazazi bado wanaishi☺️😂
Wanaoachana Huwa hawasemiNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Nenda mahakama ya temekeNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Hilo swala kunyima unyumba ni jambo la kikatili sawa na mtu ulipe ada then unaambiwa usifanye mtihani.Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Mpaka hapo hujaelewa tu?Niutolee wapi mkuu, chamsingi wazazi bado wanaishi☺️😂
Habari yako ,binafsi nakuunga mkono umuache haraka,ila tutumie mbinu unipe namba nimtongoze nimpige miti halafu utumie kama kigezo cha kumuacha,unaona aje hiyo?Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Ukisikia Kuna watu wanazungumzia ukubwa jua sio namba ya umri ni namna gan utakabiliana na changamoto zinazokuja kweny maisha yako.pole sanaNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Je mnasali pamojaNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
USIMUACHE BADILI TABIA!Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Rudi nyuma kidogo,hilo linaongeleka,peleka hiyo issue kwa wazazi wako na wa kwake,ikishindikana peleka kwa kanisa au msikiti,ikishindikana sasa unaweza kuamua lolote...Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Aisee sikuwa nimeelewa,. Mbona nimepishana na gari la mshahara sijui amekimbilia wapi nistulie kwanza Bahati haiji mara mbili mbili🙂😃Mpaka hapo hujaelewa tu?
Jamaa anaomba kuwa sponsor 😜