Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Diamond ni mfano
 
Sasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
Mkuu kabla sijakushauri, nina swali:

1) kwenye steji ya utongozaji, Ulitumia mda gani kumpata mkeo, wiki, mwezi au mwaka
2)Mkeo umemzidi miaka mingapi?
3) Umemzidi mkeo kipato? Au yeye ndo kakuzidi
4)Ushamkosea mkeo hivi karibuni? kwisha
 
We jamaa ndoa zina ups and down miaka kiwili michache sana kutaka ku-give up na mbaya zaidi unataka muacha mwenzio ana mtoto mdogo hivyo unataka mtoto wako akalelewe na nani?hebu jipe muda kidogo bwana.
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Ndugu mbona mambo haya yanazungimzika? na kumbuka inapotokea watu 2 wameingia kwenye mgogoro,ujue kila mmoja amechangia kwenye mgogoro huo,tofauti ni ukubwa wa mchango wa huo mgogoro baina ya hao watu 2.Fanya hivi:
1.tafuta siku ununue zawadi fulani ambayo wewe utaichagua,mtoe out mkale na kunywa mahali patulivu sana
2.mkisha kula na kunywa kabla hamjalewa kama mnatumia kilevi,anza kuongea nae mkeo,muulize kwanini anafanya hivyo? je kuna kitu umemkosea?Ni lazima atafunguka,basi msameheane na muanze upya
 
Kwanini unategemea kikundi fulani ndiyo kiwe kinaamulia uamuzi wa mambo kwenye maisha yako ilihali unapaswa kutoa maamuzi kulingana na hisia zako mwenyewe?
You didn't get my point.
Hapo hoja kuu siyo kanisa bali tendo la kunyimwa unyumba. Nimekupa mfano wa kanisa katoliki sababu ya msimamo wao mkali kuhusu ndoa. Kwasababu hilo kanisa wako very conservative kuhusu ndoa.

Unyumba ndiyo kitu cha msingi kinacho unda ndoa au mahusiano ya kingono (ya ndoa).
Ukiondoa ngono (unyumba) hakuna uhusiano mzuri hakuna ndoa.

Mengine yote ni kujidanganya.
Excuse au exception inakuwa pale tu mmoja wapo kati ya wana ndoa ana shida ya kiafya inayo sababisha asiweze kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa(ngono/unyumba).
 
Hapana, Ngono siyo msingi mkuu wa mahusiano ila;

I•Maelewano na Mawasiliano: Uwezo wa kuzungumza kwa uwazi na kuelewana ni msingi wa uhusiano thabiti.

II•Heshima: Kuheshimiana kunajenga mazingira ya amani na uaminifu.

III•Upendo wa kweli: Upendo unajumuisha kujali, kuonyesha huruma, na kushirikiana kwa hali na mali.

IV•Uaminifu: Bila uaminifu, uhusiano unaweza kuwa mgumu.

V•Kusaidiana: Washirika wanapaswa kuwa tayari kusaidiana na kuhimiliana nyakati zote, nzuri na mbaya.

Ikiwa ngono ni msingi mkuu wa uhusiano, je, unadhani uhusiano unaweza kudumu bila mawasiliano, heshima, na uaminifu, hata kama ngono ipo?
 
Mke anakwambia Upige nyeto 😆😆

Easy trick fanya hivi - Stop begging her for sex hata kwa mwezi mfululizo, Act like uko comfortable bila sex halafu anza kuchelewa kurudi na kujipokelesha simu nje usiku.

Women are Emotional creatures akihisi tu kama una mwingine, wivu, anaacha vimbwanga.

After 3weeks uje unipe mrejesho!!
Kama analiwa nje hii njia haitasaidia. Ila kama hana mtu nje, wiki haiishi.
 
Sasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
🤣🤣 mara ngapi munaambiwa musioe,...hamsikiiii
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Mbona hakuna tatizo kabisa.

Unamuonea huyo Mke wako
 
Mtoe out,mletee zawadi, mpe helaa, mpende vizuri. Utapewa hadi utapewa tena. 😝😝mnadhani mkishamuweka ndani mtu hachoki.
Nimpe hela?❗🤔🤔... yani nimpe hela mke wangu?... za nini?... na mahali nimetoa?... hela nampa nanunua nini?🧐🤔🤔
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Kuna mtu anaomba usiku na mchana kumpata mkeo, omba mungu akupe hekima ya kutatua changamoto zako
 
Back
Top Bottom