Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond ni mfanoNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Mkuu kabla sijakushauri, nina swali:Sasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
Ndugu mbona mambo haya yanazungimzika? na kumbuka inapotokea watu 2 wameingia kwenye mgogoro,ujue kila mmoja amechangia kwenye mgogoro huo,tofauti ni ukubwa wa mchango wa huo mgogoro baina ya hao watu 2.Fanya hivi:Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
You didn't get my point.Kwanini unategemea kikundi fulani ndiyo kiwe kinaamulia uamuzi wa mambo kwenye maisha yako ilihali unapaswa kutoa maamuzi kulingana na hisia zako mwenyewe?
Hapana, Ngono siyo msingi mkuu wa mahusiano ila;You didn't get my point.
Hapo hoja kuu siyo kanisa bali tendo la kunyimwa unyumba. Nimekupa mfano wa kanisa katoliki sababu ya msimamo wao mkali kuhusu ndoa. Kwasababu hilo kanisa wako very conservative kuhusu ndoa.
Unyumba ndiyo kitu cha msingi kinacho unda ndoa au mahusiano ya kingono (ya ndoa).
Ukiondoa ngono (unyumba) hakuna uhusiano mzuri hakuna ndoa.
Mengine yote ni kujidanganya.
Excuse au exception inakuwa pale tu mmoja wapo kati ya wana ndoa ana shida ya kiafya inayo sababisha asiweze kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa(ngono/unyumba).
Wewe upo kundi ganii?Wanandoa sababu ni zilezile kila siku hamna mpya,.
Aisee wakuu pambaneni huko huko na hali zenu masingle mtaani tumetosha
Kama analiwa nje hii njia haitasaidia. Ila kama hana mtu nje, wiki haiishi.Mke anakwambia Upige nyeto 😆😆
Easy trick fanya hivi - Stop begging her for sex hata kwa mwezi mfululizo, Act like uko comfortable bila sex halafu anza kuchelewa kurudi na kujipokelesha simu nje usiku.
Women are Emotional creatures akihisi tu kama una mwingine, wivu, anaacha vimbwanga.
After 3weeks uje unipe mrejesho!!
Single and satisfied😂😂,.Wewe upo kundi ganii?
1.Single and Searching
2.Single and Satisfied,tujue cha kufanya.
🤣🤣 mara ngapi munaambiwa musioe,...hamsikiiiiSasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
Mbona hakuna tatizo kabisa.Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
💐💐Jiongeze jinsi ya kumkuna mkeo mkuu..keshaona pafomansi yako ni ya kiwango cha chini...pia kuwa na mtoto mdogo kunachangia pengine anachoka sana

Utakua na mpunga wewe sio buree😂Single and satisfied😂😂,.
Nimpe hela?❗🤔🤔... yani nimpe hela mke wangu?... za nini?... na mahali nimetoa?... hela nampa nanunua nini?🧐🤔🤔Mtoe out,mletee zawadi, mpe helaa, mpende vizuri. Utapewa hadi utapewa tena. 😝😝mnadhani mkishamuweka ndani mtu hachoki.
Niutolee wapi mkuu, chamsingi wazazi bado wanaishi☺️😂Utakua na mpunga wewe sio buree😂
Kuna mtu anaomba usiku na mchana kumpata mkeo, omba mungu akupe hekima ya kutatua changamoto zakoNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo: