Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
kwisha zingatia replies za Mpaji Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa katoliki hakuna talaka.Sijaona sababu yenye mashiko ya kumuacha mkeo hapo!!
Kuna wakati unatamani abebe zote 100% uanze upya tu.... 😢😢😢😢😢😢Pole sana, atasepa na mali zako kwa 50% upo tayari kumgawia?
Naomba namba za shetani ili na mimi nimchane ukweliHizi taarifa huwa zinanihuzunisha sana sana.Mimi nilishajitaarifu mwenyewe na nikamtaarifu shetani pia kwamba sitakuja kumuacha mke wangu kwa sababu yoyote ile na wala asahau kwamba nitachepuka.so akae akijua hivyo.Maana aliwahi kunipa option hiyo kwamba kwa kuwa mkeo kuna changamoto ya tendo la ndoa basi si uachane na mkeo au chepuka tu maana unayo sababu.na akawa ananiletea wanawake wengine wazuri tu.Ila nikamwambia mimi hawezi kunipata kwa hili.Mungu alinisaidia hali ilitengemaa.
So, usikubali kuachana na mkeo wa ndoa akawa single mother.Komaa tuu muombe Mungu na weka dhamira ya kutamuacha mkeo hali itarejea.
Kuna wanawake wengine wanavyoona hali unayopitia wanafurahi kwa sababu wanona kama utageuka kuwa mzoga wao.dont do it! kuseperate kuna maumivu sana.
Aisee,. Mie nazungumzia ambao hawajaoa wala kuolewa tuko wengi sana wasituongezee mzigoOngezea hapo 'masingo maza'.
Masingle tu huwa hawatoshi, ila mtaa umeelemewa na masingo maza.
Sababu kubwa namba moja ya kuoa ni kupata unyumba.... Sasa kama hupewi hakuna ndoa hapo.... Bora kuachana mapema kabisa.....Lakini katika hizo sababu hapo juu hakuna hata moja yenye uzito wa kuachana na mkewe maybe kama uandishi wake umekua mwepesi kuliko masahibu anayoyapitia ndani kwake.
Hata mimi sijaona sababu ya maana hala na inaonekana jamaa alioa kabla hajakomaa vizuri kiakili.Sijaona sababu yenye mashiko ya kumuacha mkeo hapo!!
Kwaio mkuu mtoto miez 7 ila unataka upewe mbususu uichape kutwa mara 3 aseeeYeah tuna mtoto mmoja wa miezi 7
Alafu sababu za kipuuzi eti kunyimwa unyumba, mara matumizi makubwa na blah blha za kimaskini.Wanandoa sababu ni zilezile kila siku hamna mpya,.
Aisee wakuu pambaneni huko huko na hali zenu masingle mtaani tumetosha
Yeah ni kweli,. Wakae wayazungumze kuachana sio suluhisho maana hajui atakayemuoa tena atakuwajeAlafu sababu za kipuuzi eti kunyimwa unyumba, mara matumizi makubwa na blah blha za kimaskini.
Nifahamuvyo mwanamke anaachwa kwa kugawa unyumba hovyo mitaani ila haya mengine hayana maana. Ni kukaa chini na kuongea.
Kheeee..!!! Mlongoooo!!!!Wanandoa sababu ni zilezile kila siku hamna mpya,.
Aisee wakuu pambaneni huko huko na hali zenu masingle mtaani tumetosha
Inasikitisha. Maturity ni muhimu sana kabla ya kuingia ndoani.Sijaona sababu hata moja ya kuacha mke hapo.
Ninapo waambia ndoa ni kwa watu wenye akili timamu ndio muelewe hebu muoneni huyu changamoto ndogo tu anataka kumwacha mke.
Umenena vyema hakika 👍🏾Hata mimi sijaona sababu ya maana hala na inaonekana jamaa alioa kabla hajakomaa vizuri kiakili.
Wanawake wote silaha yao ni mapenzi
Ni sababu za muhimu, ila sijaona sababu ya msingiNimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.
Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.
Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.
Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Kwanini unategemea kikundi fulani ndiyo kiwe kinaamulia uamuzi wa mambo kwenye maisha yako ilihali unapaswa kutoa maamuzi kulingana na hisia zako mwenyewe?Kanisa katoliki hakuna talaka.
Kanisa katoliki hutoa kibali Cha talaka endapo mmoja anamnyima mwezie haki ya tendo la ndoa makusudi Yani bila shida ya kiafya.
Hiyo sababu Ni kubwa mno katika sababu zake alizotaja.
Afanye kwanza hivyo nlivyomwambia sababu inaonekana kama vile bado anamuelewa mke wake, Akiona demu wake ha-react aichukue hiyo yako.Hizo mbanga za nini zote, yeye aanze kuishi kama yupo single tu. Achukue namba mpya kila apatapo nafasi. Aanze kugonga nje apunguze kulilia lilia mbunye ya mkewe.