Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.

Mwanamke Kama:

1. Anakunyima unyumba
2. Anakuzarau

Wanamla!
 
Sasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
Mke anakwambia Upige nyeto 😆😆

Easy trick fanya hivi - Stop begging her for sex hata kwa mwezi mfululizo, Act like uko comfortable bila sex halafu anza kuchelewa kurudi na kujipokelesha simu nje usiku.

Women are Emotional creatures akihisi tu kama una mwingine, wivu, anaacha vimbwanga.

After 3weeks uje unipe mrejesho!!
 
Screenshot_20240923-192822~2.jpg
 
Hizi taarifa huwa zinanihuzunisha sana sana.Mimi nilishajitaarifu mwenyewe na nikamtaarifu shetani pia kwamba sitakuja kumuacha mke wangu kwa sababu yoyote ile na wala asahau kwamba nitachepuka.so akae akijua hivyo.Maana aliwahi kunipa option hiyo kwamba kwa kuwa mkeo kuna changamoto ya tendo la ndoa basi si uachane na mkeo au chepuka tu maana unayo sababu.na akawa ananiletea wanawake wengine wazuri tu.Ila nikamwambia mimi hawezi kunipata kwa hili.Mungu alinisaidia hali ilitengemaa.

So, usikubali kuachana na mkeo wa ndoa akawa single mother.Komaa tuu muombe Mungu na weka dhamira ya kutamuacha mkeo hali itarejea.

Kuna wanawake wengine wanavyoona hali unayopitia wanafurahi kwa sababu wanona kama utageuka kuwa mzoga wao.dont do it! kuseperate kuna maumivu sana.
 
Ukweni watakaposikia haya watakaa kikao na mleta mada ambapo washiriki watakuwa.....

Huyu ni baba mkwe
FB_IMG_1737663498608.jpg


Huyu ni mjomba
FB_IMG_1737663506846.jpg


Kaka mtu
FB_IMG_1737663488372.jpg

Mbwa wa familia nae hatakaa mbali
IMG_20250124_230359.jpg


Wapwaze mtu
FB_IMG_1737488158529.jpg

Mkewe akijenga hoja
IMG_20250124_231857.jpg

Huyu ni mleta mada (mume) akijaribu kuwasilisha hoja zake
IMG_20250124_230325.jpg

Ex wa mkewe nae atakapopata taarifa hatakosa cha kuwaza japo hatujui kama jema au baya
FB_IMG_1737663492642.jpg

Mkuu kila la heri ktk maamuzi yako sijui kama utatoka salama bila kugawana mali kama unazo au kupigwa au hata kulogwa.
 
Back
Top Bottom