Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Acha wivu mkuu,utakuuwa
 
Pole kiongozi ila Kwa ushauri hapo hamna Bado sababu ya kuachana Yani Kwa kifupi kumuacha mwanamke Kwa sababu hizo ni udhaifu kiongozi. Kama mna ndoa ukumbuke mchakato wa talaka una vigezo lkn pili mambo yote ukiyoyataja Kwa mtazamo wangu naona ni mambo madogo mfano kama hakupi unyumba mkuu sikushauri Cha kufanya ila jiongeze Kwa kesi ya kuheshimiana mkuu usitegemee Sana Ile heshima ya ki kungwi Yale mara nyingi maigizo wanawake wa hivyo Karne hii hawapo. Badilisha style usichulie too serious Kila kitu anachofanya focus kwene mishe zako alafu fikiria mtoto wako hizo out mtoe ila Kwa bajeti kiduchu Hawa viumbe wanaitaji mambo machache tuu Tena ukishajua weakness yake umemaliza! Kama ni mama wa nyumbani mtaftie ka mradi hata kufuga tukuku hapo saso wamkeep bize
 
Tatizo kikao cha Mwisho cha kataa Ndoa hukuja.
Huyo ni m bia mwenzio sio mke.
Zako zake, zake zake.
Single Pappa wa miaka 28 hapa na sitoi ushauri.
 
Sasa kiongozi mwanamke ambaye anabana mpaka anakera
Just imagine mwanamke anakuanbia bora upige ponyeto kuliko yeye kukupa sex. Na mda mwingine kupewa sex mpaka umtoe out how can you live with women like this
Hela unazo lakini au unga unga mwana😆?
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Hakuna sababu ya msingi uliyoitaja
 
Mke anakwambia Upige nyeto 😆😆

Easy trick fanya hivi - Stop begging her for sex hata kwa mwezi mfululizo, Act like uko comfortable bila sex halafu anza kuchelewa kurudi na kujipokelesha simu nje usiku.

Women are Emotional creatures akihisi tu kama una mwingine, wivu, anaacha vimbwanga.

After 3weeks uje unipe mrejesho!!
Hizo mbanga za nini zote, yeye aanze kuishi kama yupo single tu. Achukue namba mpya kila apatapo nafasi. Aanze kugonga nje apunguze kulilia lilia mbunye ya mkewe.
 
Mtoe out,mletee zawadi, mpe helaa, mpende vizuri. Utapewa hadi utapewa tena. 😝😝mnadhani mkishamuweka ndani mtu hachoki.
Hayo sio mapenzi ni utumwa. Yani mtu kukushow love mpaka umtoe out hizo hela za kufanya hayo kila siku kisa mbunye ni bora kuanzisha uhusiano hata na denti.
 
Wanandoa sababu ni zilezile kila siku hamna mpya,.

Aisee wakuu pambaneni huko huko na hali zenu masingle mtaani tumetosha
Ongezea hapo 'masingo maza'.
Masingle tu huwa hawatoshi, ila mtaa umeelemewa na masingo maza.
 
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:

Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa nimekosea, na mara kwa mara amekuwa akinikatalia. Hii imeathiri sana uhusiano wetu kwa upande wa kihisia na kimapenzi.

Heshima: Ukaribu wetu umefika hatua ya mke wangu kupunguza heshima kwangu. Hili limeleta changamoto kubwa katika mahusiano yetu na hata katika mawasiliano ya kila siku.

Kuelewa maisha: Baada ya muda wa kuwa na kuishi katika maisha ya Ndoa , nimegundua mambo fulani kuhusu maisha yangu. Nilikuwa sijitumi sana awali, lakini sasa nimejifunza umuhimu wa kujiboresha na kuwekeza katika maarifa yangu.

Hata hivyo, nimehisi kwamba tabia Za mke wangu , kama vile kuwa na mwelekeo wa kutaka kwenda out mara kwa mara, zinaweza kuwa changamoto kubwa kwangu katika siku za usoni.
Mkuu usichukue uamuzi kama huo kwa haraka hivyo. Wanawake wengi wakizaa mtoto, hasa wa kwanza, "attention" kubwa huipeleka kwa mtoto zaidi ya mume.

Kwa hiyo katika kipindi hiki kuna kuwa na mabadiliko makubwa sana katika suala zima la mahusiano kati ya mume na mke. Tafuta ushauri kwa watu wengine waliokuzidi umri ili upate uzoefu huo mpya kwako.

Ukiniambia unataka kumuacha kwa kuwa umethibitisha hana uaminifu, hapo mimi sitii neno lolote lile. Lakini kama unayaona mabidiliko toka amepata huyo mtoto mdogo, hicho ni kitu cha kawaida sana.

Natambua una ma-ex kadhaa. Kati ya hao fufua mahusiano na mmoja wao ili uweze kukabiliana na kipindi hiki cha mpito unachokipitia, Hivyo ni vijimambo tu ambavyo havihalalishi wewe kutaka kumpa talaka mama mtoto wako.
 
Hayo sio mapenzi ni utumwa. Yani mtu kukushow love mpaka umtoe out hizo hela za kufanya hayo kila siku kisa mbunye ni bora kuanzisha uhusiano hata na denti.
Unaitafuta miaka 30 kifungoni kwa Nguvu ee😅😅😅
 
Yaani mpaka muda huu bado upo naye tu hujamtimua?

You're not serious bro.
 
Back
Top Bottom