Nataka kuachana na mwanamke

Hela siku zote huwa haitoshi
Lakini muhimu ni kuwa na nidhamu ya pesa na kuishi kulingana na kipato
Huwezi kupata milioni ukaishi kwa milioni kumi
Lazima uone maisha ni magumu

Kwa milioni unayolipwa mkeo ukimlipa laki tatu kwaajili ya matumizi ya mwezi na ukanunua vyakula vya laki moja ni kiboss sana hiyo
mko wawili tu na mtoto
Laki tatu ukitia kwenye biashara bado una hela nyingi tu
kama ni mtu wa tungi angalau kwa wiki mara moja siyo mbaya kwa sababu hakuna tuzo wala pombe si ugali
 
Pole sana, hayanaga muongozo... weka picha yake usaidiwe...
 
Wazo zuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…