Nataka kuachana na mwanamke

Nataka kuachana na mwanamke

Ili uweze kuishi na mwanamke vizuri zingatia haya
1..daima wewe ndo uwe na kipato kikubwa
2..hakikisha linapokuja swala la kudinyana Somalia ukucha mpaka kuhamka asubuhi anakusalimia shikamoo Baba
3..uwe na kauli moja ndani hapana au ndio
4..akikukosea mkalishe chini kama mtoto,na ikiwezekana achezee mbata achana na wazungu eti haki sawa mwanaume daima yupo juu ya mwanamke hakuna cha haki sawa.
5..akitaka kwenda kwa ndugu zake aombe ruhusa sio anajiamuria
Mimi hii mbinu kanipa babu yangu mwenye wake 4 na watoto 27,mpaka sasa hakuna mwanamke aliyeachana naye toka aingie kwenye ndoa nao wote.
Baba ana wanawake 3 na watoto 15
Wote heshima debe kudadekiii
Sikiliza ndugu maisha hayapo programmed kwamba kipato chako kitakua constant kadri upendavyo, kuna kutetereka na mengine mengi, tunazungumzia uhalisia hapa sio nadharia.
 
Ni wazo pia ila nadhani hiyo 2500000 ya enzi hizo ya babaako ilikuwa na thamani mara 2 ya 900000 ya sasa, hebu twende pamoja
Hiyo 250000 iliendana na maisha ya wakati ule, na hata hiyo 900,000 ya sasa inaendana na Hali ya sasa. Kwa hiyo hakuna utofauti. Aliekupa huo mfano yupo sahihi kabisa.
 
Ja
Sana tu yaani vitu vya nyumbani kama vyakula vinakomba pesa yote.

Anabaki kusubiria mwisho wa mwezi tena,😳 huu si ni utumwa?
Jamaa Hana akili....jogoo hafi kwa utitiri
Moja ya vitu alitakiwa kujipanga before kuoa ni pamoja na:
Uchumi na kipato cha Familia
Imani
Elimu ya watoto
Akiba
N.k
Then hakikisha mwenzi wako naye Ana kipato na muwe na bajeti
 
Nilimshauri awali hakuamini eti laki tisa ni kubwa aiseee 😅😅😅😅...ngoja ncheke kama mazuri.. hebu mnisaidie nimshauri vipi? 😳😳
Msidhani humu wote ni watoto, kama ni mtu wa starehe hata m5 utasema hazitoshi lakini kwa familia yako ni pesa nyingi sana kama si mutu wa starehe kubwa.
 
Ni muda mwingine tena.

Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.

"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize.

"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.

Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,

Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.

Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".[emoji15][emoji15]

"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu

msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....[emoji25][emoji25][emoji25]"

Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwalimu.

Karibuni
Duh any way
Tatizo linaweza kuwa kwake mwenyewe wakati anaoa aliwai kushirikisha mke wake juu ya hizo biashara?

Kama Duka na vitu vinakwama amuulize huyo mke wake kama anapenda hiyo biashara SASA kama mke wako maono yake yalikuwa ni kuwa na saloon unampatia Duka ndugu Yangu unatafuta lawama

Kaa chini na mke wako muyajenge mjue wapi mlikosea pia mueleze ukweli juu ya changamoto unazokutana nazo lakini mwambie anataka kufanya shughuli gani ? Pia angalia na uwezo wake pia sio kila MTU anaweza kufanya biashara hapo ndipo tunakosea sio kile unachopenda ni lazima mwenzako akipende

Mwisho mwanaume hautakiwi kukimbia majukumu na wala kufikiria kurudi ujana miaka inakwenda kubaliana na changamoto na songa mbele

Wanasema kipimo cha ubaba sio kukimbia majukumu ni namna ya kukutana na changamoto na kukabiliana nazo , jifunze Kwa waliofanikiwa Ila usirejee nyuma tunaelekea kanaani misri Kwa nini ?
 
mke ndiye mpanga bajeti...
Wewe ukipata mshahara nunua mahitaji muhimu mke hawezi kukataa kuyapokea, akisema hapokei eti hakushirikishwa ujue ana mambo yake. Vitu muhimu vikiwepo vinavyofuatia ni leo mboga gani ambazo hazizidi elfu tano, achana na mtindo wa kinunua roborobo mpaka mwenye duka anakuwa kama mjomba wako, kila siku mnaonana mara tatu, asubuhi sukari robo, mchana unga robo na jioni unga tena robo!
Ukweli ukila kwa mamantilie acha hoteli ni aghari zaidi mara nne. Hivi ni watanzania wangapi wenye familia wanapata 900,000/= kwa mwezi, au hapo anapofanya kazi wote wanapata hizo, tuache kujikuza.
 
Wewe hutaki kuniamini ila nachokuambia ni kweli,mimi mke wangu kila nikihamka asubuhi ananihamkia shikamoo baba.
Akikosea kitu ananiomba msamaha akiwa amepiga magoti.
Nadhani wako anakusimamia kope juju juu na kutaka kupgana nawe au sio
Duuuuh, kumbe kuna watu mna bahati hivyo? 😳😳😳
 
Back
Top Bottom