Je mkeo ana matumizi mabaya ya pesa? Ungesimamia matumizi ya pesa kama mwanaume. Kama mkeo hatumii vibaya pesa yake, makosa ni yako kwa kutokaa chini na kufikiria kuwa kwanini biashara zako zinafeli? Unalalamika as if mwanamke kaleta gundu wakati sio kweli, vyakula vimepanda bei, Kuna inflation ya kutisha, ulibidi ufanye mpango uanzishe biashara nyingine.Twende
pamoja, kivipi?
Ndo maana nikasema wewe ni tatizo, unamsingizia mwanamke.