The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Kwa 400k-500k naweza pata redmi ipi Chief.?.Redmi ni kama samsung wana simu za kuanzia laki mpaka za milioni wewe tu na hela yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa 400k-500k naweza pata redmi ipi Chief.?.Redmi ni kama samsung wana simu za kuanzia laki mpaka za milioni wewe tu na hela yako.
OK mkuu nimekuelewa sema tu nimetaka kutumia kampuni iyo ya Nokia
Redmi note 10Kwa 400k-500k naweza pata redmi ipi Chief.?.
note 10 pro redmi na oppo A74 ipi ni favourable na mfuko unaruhusu koteRedmi note 10
Note 10 pro ni nzuri zaidi.note 10 pro redmi na oppo A74 ipi ni favourable na mfuko unaruhusu kote
Simu haina kodi mkuu usiogopeOngea na TRA kujua kodi kiasi gani, usije ukaikimbia simu.
430k tigo shopRedmi note 10
650kNote 10 pro ni nzuri zaidi.
Camera kali kulingana na bei yake.Natumia RedMI 9
Najiuliza kwanini nilichelewa kuijua
Ina camera kali, usalama wa kutosha.. performance ndo usiseme[emoji1430]
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
View attachment 2062472View attachment 2062471
Mkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.
Mkuu,Situmii sanduku la posta ila mizgo yangu ua naipata vizur tu mkuu
Mkuu naomba msaada nahitaji kuagiza lcd display ya simu redmi 9a kupitia alli expressSitumii sanduku la posta ila mizgo yangu ua naipata vizur tu mkuu
Sio poa kabisa. Lakini version nyingine za Nokia ziko vizuri so anaweza akajaribu ila sio hiyo.Sahihi kabisa, Mimi nilikuwa nayo ilisumbua charge hivyo hivyo nkawasiliana Na Nokia wakaniambia simu ilikuwa imetengenezwa kwa Chinese market na sio Tz kwahiyo inabid niende kwa fundi third party
Ulitumia shipping ipi?Naombeni kuelemishww kuna mzigo fulani hivi nimeagiza alixpress mpaka leo sijaupata ukitrack mzigo unaonyesha upo destination center lakinj ukieda haupo wadau wwnasema subiri wautafute ujipatikana watanijulisha kwa cm ni mda kidogo kunazia mwezi wa 10 tarehe 1. Mpaka leo nashindwa nianzia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
tigo shop nimesita kununua mana wansema ni 700K 6RAM NA rom 128, ila 8gb ram wanasema ni 750K...650k
Ushauri mzuriSahihi kabisa, Mimi nilikuwa nayo ilisumbua charge hivyo hivyo nkawasiliana Na Nokia wakaniambia simu ilikuwa imetengenezwa kwa Chinese market na sio Tz kwahiyo inabid niende kwa fundi third party
Ngoja nicheki nyingne ikiwezekana nichukue 6 kamiliMkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.