Nataka kuagiza simu ali express

Nataka kuagiza simu ali express

OK mkuu nimekuelewa sema tu nimetaka kutumia kampuni iyo ya Nokia

Chukua hiyo simu iko vizur ni android one haina mambo mengi sema ka weakness kidogo kwenye battery ila performance ni bomba tu, kuhus kufika haichelewi mm niliwahi agiza mpya ilichukua three weeks
 
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
View attachment 2062472View attachment 2062471
Mkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.
 
Sahihi kabisa, Mimi nilikuwa nayo ilisumbua charge hivyo hivyo nkawasiliana Na Nokia wakaniambia simu ilikuwa imetengenezwa kwa Chinese market na sio Tz kwahiyo inabid niende kwa fundi third party
 
Sio poa kabisa. Lakini version nyingine za Nokia ziko vizuri so anaweza akajaribu ila sio hiyo.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Naombeni kuelemishww kuna mzigo fulani hivi nimeagiza alixpress mpaka leo sijaupata ukitrack mzigo unaonyesha upo destination center lakinj ukieda haupo wadau wwnasema subiri wautafute ujipatikana watanijulisha kwa cm ni mda kidogo kunazia mwezi wa 10 tarehe 1. Mpaka leo nashindwa nianzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia shipping ipi?
 
Sahihi kabisa, Mimi nilikuwa nayo ilisumbua charge hivyo hivyo nkawasiliana Na Nokia wakaniambia simu ilikuwa imetengenezwa kwa Chinese market na sio Tz kwahiyo inabid niende kwa fundi third party
Ushauri mzuri
 
Mkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.
Ngoja nicheki nyingne ikiwezekana nichukue 6 kamili
 
Back
Top Bottom