Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ukizungumza kitu uwe na takwimu na uhakika, alisimamishwa na bodi ya wakurugenzi na sio huyo uliemtaja.Alitenguliwa na jiwe na akarudishwa na jiwe.
Alifanya kazi bila usumbufu enzi za Mkwere.
Sasa ndo unamleta mtu kasoma BA community development na MA HRDkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-
ELIMU:-
Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Caroline, Marekani (2008)
PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)
MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)
BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994
UZOEFU WA KAZI:-
Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA
2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu
2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)
1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.
Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.
Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.
Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
Yaan kilichotaka kufanyika ni kuletwa mtu aliyetumia NOTES za form 2 CIVICS za Gender na responsible Citizenship na WORK Kupata degree au Masters yake awe DG wa TPDC.Sasa ndo unamleta mtu kasoma BA community development na MA HR
Angalia Cv ilivyoshiba halafu unaweza ukailinganisha na Ile ya Chuo cha Yohana masomo ya jioni?Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-
ELIMU:-
Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Caroline, Marekani (2008)
PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)
MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)
BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994
UZOEFU WA KAZI:-
Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA
2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu
2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)
1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.
Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.
Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.
Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
Nami nasubiri majibu hapa maana ninachoona imejikita kwenye Tafiti zisizo leta faida yoyote huenda niko wrong let me wait vivid informationTujiulize what is the impact of TPDC ina economy contribution na pato la taifa
Alisimamishwa na bodi, ikipendekeza atumbuliwe.Alitenguliwa na jiwe na akarudishwa na jiwe.
Alifanya kazi bila usumbufu enzi za Mkwere.
Hilo pumbavu achana naloUkizungumza kitu uwe na takwimu na uhakika, alisimamishwa na bodi ya wakurugenzi na sio huyo uliemtaja.
Kikwete alianzisha utaratibu wa kutafuta watalaamu wa Kitanzania waliopo duniani ili waje kutumia uzoefu wao Bongo!! Hapa ndipo alipomchukua Mataragiro ambae alikuwa na kazi mzuri sana kwenye industry ya mafuta na gesi, nadhani huko Texas!Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha.
Kikwete alianzisha utaratibu wa kutafuta watalaamu wa Kitanzania waliopo duniani ili waje kutumia uzoefu wao Bongo!! Hapa ndipo alipomchukua Mataragiro ambae alikuwa na kazi mzuri sana kwenye industry ya mafuta na gesi, nadhani huko Texas!
Watu wengi kama wewe hawajui mchango wa tpdc kwenye uchumi ama maisha yao ya kila siku.Tujiulize what is the impact of TPDC ina economy contribution na pato la taifa
Very nice guy, humble and intelligentAlianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha.
Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu anaweza kuwa ni mmoja ya wasomi wachache ambao wanafanya kazi kitaalamu yaani yeye ni mfuasi wa taaluma yake.
Kwa maana hajiambatanishi na kiongozi yeyote zaidi ya kile anachopaswa kukifanya hivyo kila kiongozi akija inakuwa rahisi kufanya naye kazi.
Mwenye habari zake zaidi atusaidie.